kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,140
Mnawaokotaga wapi madem wa hivyo?ulichokiongea ndo nilitaka kuandika, nliwai kusema sitakuja kupiga demu ata mke ila jana kidogo nivunje amri, but sikuonesha kukasrika, nlifata chips yai, na mishikaki tena nkaja nacheka tu ila hawa watu wanakera, nilisubili asbui ifke ili nitafte namna ya kumwambia aondoke
Sio vyema kunicheka..Ila mecheka sana jaman na kukuonea huruma juu[emoji23]
hahaha!ulimfanya nn?Mimi Hilo la kutokupiga ke nililiacha toka nilipokuta nimeseviwa jina "KIBERENGE" wakati mi najina zuri tu..😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!
Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
Sasa apa nani mjinga kati ya wewe na uyu mdada . Ivi izi akili had Leo kuna wanaume wanaendeshwa ivo. Ila mwanamke ana ku treat kutokana na ulivyoYaani mtu, anadai hawezi kutumia jiko kupika wali, eti ilo jiko haliwezi, jiko mmenunua zaidi ya laki 7, linaoza, unamwachia, elfu 10K, ya kula ukitoka kuangaika jioni unamwambia unakula nini, kununue ata chips, anasema amechoka hatoki nje.
Basi unamwambia kama umebakiza ata elfu 1, leta nimpgie simu boda akuletee chakula, mi ntakununulia alafu nauli mpe boda ata buku, anakwambia hana ata mia, na apo ulimwachia elfu 10, unakuta wewe unakula yule mdudu na yeye hali, basi unanunua mdudu wako unampa elfu 3, kanunue viazi anakwambia mimi nje sitoki nmechoka, na apo kashinda amekaa tu.
Basi unaona jau kula huku mwenzio kakakaa tu, unaamua kwenda kununua, asbui nmemwambia kuna mdogo wangu anakuja kulala, na nmechukia bora asirudi kabisa.
Eti demu ambae hana elimu, ana heshima weeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujawakuta.
Duh nimecheka kiboya alafu nipo kwa daladala [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!
Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi Hilo la kutokupiga ke nililiacha toka nilipokuta nimeseviwa jina "KIBERENGE" wakati mi najina zuri tu..[emoji23]
Duh yani hawa watu sometimes ni visirani sanaNilijibiwa shombo na demu mmoja tukiwa lodge, ilikua kama saa mbili usiku.
Muda ule ule nilibeba begi langu nikaondoka kwenda kutafuta lodge sehemu nyingine nikamuacha pale.
Ni takriban 6months tangu lile tukio litokee hadi leo ananibembeleza turudiane sijakubali na sitakubali maana naweza kuishia jela siku moja.
Mungu aliniepusha siku ile ningefanya tukio la kusikitisha
hahahaha "ulipo tupo" "usiyempenda kaja" hahaa skupingi mkuuMkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!
Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
Alaf suala lenyewe mpaka ananitolea shombo lilikua dogo sana.Duh yani hawa watu sometimes ni visirani sana
Teh mzoefu hivyo huyo ana madeko au matatizomara ya 5 anakuja
Niliwah jikok kununua keki ya bdai ya manz mmoja kipind hiko akaipokea ila kumbe hakuipenda ilipita kama week hiv nikashika simu yake wanagrup la watu 6 wanajiita sijui beauty nn huko basi kuangalia nikakuta wamediskasi ile keki wamenipiga majungu balaaa mbaya zaid yeye ndo alikuwa mchochez mkuu mbaya zaid hela niliipata kwa tabu ili nimridhishe mwisho wasiku akasema nimeleta keki ndogo kama tako la mtto nilimchangamsha ile siku nadhan hataisahau maishan kwakeYaani mtu, anadai hawezi kutumia jiko kupika wali, eti ilo jiko haliwezi, jiko mmenunua zaidi ya laki 7, linaoza, unamwachia, elfu 10K, ya kula ukitoka kuangaika jioni unamwambia unakula nini, kununue ata chips, anasema amechoka hatoki nje.