Kuna wanawake usiombe uachane nao!

Hapa sasa anataka aende mtwara kusoma.ila biti nililopewa.mungu anajua.
Ananiambia akifika anatafuta mganga.anifunge nikikutana na mwanamke nisisimame mpaka arudi yeye.
Duuh tena usifikiri anatania huyo mkuu,huyo yuko serious lazima akupige pini kweli! Hatari sana hawa watu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…