Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Mkuu Mara nyingi huwa tunakimbia mizinga!unakuta kila unapozidi kutatua na mizinga ndio inaongezeka ukubwa[emoji23]Mkuu unajua wanaume wengi huwa tunaacha kwa bifu Mara kutukanana mara kupigana au unalala na best ake so wanawake wanakuwa na manung'uniko rohoni mwao na mioyoni mwao na kujuta kukujua pia kukuombea mabaya so kufanikiwa inakuwa vigumu ni bora tu uwe committed kama umeamua kuwa na mtu flan
Hapo Mungu muelewa mkuu uhakika maombi ya huyo mwanamke yatapita pembeni.....Mimi nikiona imeamza mizinga nipo radhi kubadilisha namba kwaajili ya mtu mmojaMkuu Mara nyingi huwa tunakimbia mizinga!unakuta kila unapozidi kutatua na mizinga ndio inaongezeka ukubwa[emoji23]
Hahaaaa!acheni hizo radhi zetu zinatutesaTeam kiumeni nuksi mnajitia wenyewee,.poleni sana jomonii[emoji23]
Hahaaa!anaweza kukugeuza ukawa jike dume[emoji23] [emoji23]Ndo maana mimi nina wanawake watatu.
Ila kuna mmoja mzanzibar.nikimuacha ataniua hata kwa uchawi.
Maana anapenda vibaya hadi kero.
Dangote mwenyewe amewahi kuachwa Mara kadhaaTatizo shikeri hatujawahi ona MO analalamika kuachwa
Hahaaa!anaweza kukugeuza ukawa jike dume[emoji23] [emoji23]
Aysee! Huwa hawana hiyana hao,mwanamke akikupenda kupitiliza ni kero kwakweli na ukimuacha anaweza kukufanya chochoteNdo maana mimi nina wanawake watatu.
Ila kuna mmoja mzanzibar.nikimuacha ataniua hata kwa uchawi.
Maana anapenda vibaya hadi kero.
Bora uwe committed?Hiyo ni nadharia zaidi,nadhani anataka kitu practicalMkuu unajua wanaume wengi huwa tunaacha kwa bifu Mara kutukanana mara kupigana au unalala na best ake so wanawake wanakuwa na manung'uniko rohoni mwao na mioyoni mwao na kujuta kukujua pia kukuombea mabaya so kufanikiwa inakuwa vigumu ni bora tu uwe committed kama umeamua kuwa na mtu flan
Hapa sasa anataka aende mtwara kusoma.ila biti nililopewa.mungu anajua.Aysee! Huwa hawana hiyana hao,mwanamke akikupenda kupitiliza ni kero kwakweli na ukimuacha anaweza kukufanya chochote