Kuna Wanawake Mungu Kaumba!

Mkuu umeniangusha sana aiseeee Fanya mambo umlegeze mtoto huyo
Muda kidogo umeshapita Kimyaa..nimejaribu Kumuomba Mungu anisaidie maana kama nikianza mahusiano nae najijua Udhaifu wangu Sichomoki hata kwa Patasi.

Halafu nitasema Nimcontrol,kitu ambacho ni Heart Attack nyingine.
Bora hawa niliozoeana nao Chakula Mezani wanajua pia.
 
Kama Halali yangu Mara niko Safarini mara nakuta Basi alilopanda limeharibika napiga Breki Sister Vipi Twende zetu unaelekea wapi akijibu Kyela na Mimi naelekea Malawi

Hapo sawa.
 
Niliingia Ofisi Moja Maeneo ya KAMATA nilikuwa nafuatilia Shughuli zangu,jamaa nilishaongea nae Kwenye Simu akasema Njoo.

Nikidandia BodaBoda ya Dogo Mmoja Mjanja sana halafu huwa anajua kukichezea Chombo Kile na kuwakwepa Maaskari wa jiji na Control ndio usiseme.

Vuuup!...Mpaka Jengoni nikaanza kuulizia Pale Chini ile Kampuni iko Ghorofa ya Ngapi nikaelekezwa bhana nikapanda ngazi haraka haraka

Kufika kule nikaona Bango nikaingia Kilichonipeleka pale GHAFLA! nikakisahau,, Yule Binti Ni Mzuri!! Sijui kama alihisi..Nikamuomba Maji ya Kunywa akasimama eeeh Bwana wee...yaani Sura Nzuri sauti nzuri figa Zuri Mgongo mzuri akaenda kuniletea maji.

Mimi nikasema Moyoni kwanza jali kilichokuleta nikamuuliza Bossi nilieongea nae kama yupo akasema katoka kidogo

"Msubiri hatochelewa"..Tukaanza kuongelea Mambo ya Biashara nikayashinda matamanio Thank you God!

Namba nilichukua ila kila nikijaribu niseme niipige Nguvu Mbili ndani ya Mwili wangu zinapingana

Ila No Swaet Mke wangu pia kaumbika na Mwenzake pia kaumbika lakini Uzuri nao Ukipita Kiasi unaweza kutuletea Heart attack yule Binti kidogo aniletee.
Kama huna gari basi usipoteze muda wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa ya wadada wa mapokezi au secretaries kwenye ofisi za private, huchaguliwa huku muonekano mzuri na wa kuvutia ukiwa pia ni moja wapo ya vigezo...

Cc: mahondaw
 
Niliingia Ofisi Moja Maeneo ya KAMATA nilikuwa nafuatilia Shughuli zangu,jamaa nilishaongea nae Kwenye Simu akasema Njoo.

Nikidandia BodaBoda ya Dogo Mmoja Mjanja sana halafu huwa anajua kukichezea Chombo Kile na kuwakwepa Maaskari wa jiji na Control ndio usiseme.

Vuuup!...Mpaka Jengoni nikaanza kuulizia Pale Chini ile Kampuni iko Ghorofa ya Ngapi nikaelekezwa bhana nikapanda ngazi haraka haraka

Kufika kule nikaona Bango nikaingia Kilichonipeleka pale GHAFLA! nikakisahau,, Yule Binti Ni Mzuri!! Sijui kama alihisi..Nikamuomba Maji ya Kunywa akasimama eeeh Bwana wee...yaani Sura Nzuri sauti nzuri figa Zuri Mgongo mzuri akaenda kuniletea maji.

Mimi nikasema Moyoni kwanza jali kilichokuleta nikamuuliza Bossi nilieongea nae kama yupo akasema katoka kidogo

"Msubiri hatochelewa"..Tukaanza kuongelea Mambo ya Biashara nikayashinda matamanio Thank you God!

Namba nilichukua ila kila nikijaribu niseme niipige Nguvu Mbili ndani ya Mwili wangu zinapingana

Ila No Swaet Mke wangu pia kaumbika na Mwenzake pia kaumbika lakini Uzuri nao Ukipita Kiasi unaweza kutuletea Heart attack yule Binti kidogo aniletee.
We sema alikuwa nzuri kwako, sio kila mtu anaweza kuna mtu flani ni mzuri
 
Back
Top Bottom