Kuna Wanawake Mungu Kaumba!

Niliingia Ofisi Moja Maeneo ya KAMATA nilikuwa nafuatilia Shughuli zangu,jamaa nilishaongea nae Kwenye Simu akasema Njoo.

Nikidandia BodaBoda ya Dogo Mmoja Mjanja sana halafu huwa anajua kukichezea Chombo Kile na kuwakwepa Maaskari wa jiji na Control ndio usiseme.

Vuuup!...Mpaka Ofisini nikaanza kuulizia Pale Chini ile Kampuni iko Ghorofa ya Ngapi nikaelekezwa bhana nikapanda ngazi haraka haraka

Kufika kule nikaona Bango nikaingia Kilichonipeleka pale GHAFLA! nikakisahau,, Yule Binti Ni Mzuri!! Sijui kama alihisi..Nikamuomba Maji ya Kunywa akasimama eeeh Bwana wee...yaani Sura Nzuri sauti nzuri figa Zuri Mgongo mzuri akaenda kuniletea maji.

Mimi nikasema Moyoni kwanza jali kilichokuleta nikamuuliza Bossi nilieongea nae kama yupo akasema katoka kidogo

"Msubiri hatochelewa"..Tukaanza kuongelea Mambo ya Biashara nikayashinda matamanio Thank you God!

Namba nilichukua ila kila nikijaribu niseme niipige Nguvu Mbili ndani ya Mwili wangu zinapingana

Ila No Swaet Mke wangu pia kaumbika na Mwenzake pia kaumbika lakini Uzuri nao Ukipita Kiasi unaweza kutuletea Heart attack yule Binti kidogo aniletee.
Take care wengine majini
 
Take care wengine majini
Hapana hao Viumbe mimi nawajua,na anakuijia kwenye ndoto kwanza halafu unakutana nae vilevile pale pale utajaribu kujiuliza huyu ndio yule wa kwenye ndoto ile na yeye ataanza kusmile kuwa umemkumbuka huyo JINI.
 
Niliingia Ofisi Moja Maeneo ya KAMATA nilikuwa nafuatilia Shughuli zangu,jamaa nilishaongea nae Kwenye Simu akasema Njoo.

Nikidandia BodaBoda ya Dogo Mmoja Mjanja sana halafu huwa anajua kukichezea Chombo Kile na kuwakwepa Maaskari wa jiji na Control ndio usiseme.

Vuuup!...Mpaka Ofisini nikaanza kuulizia Pale Chini ile Kampuni iko Ghorofa ya Ngapi nikaelekezwa bhana nikapanda ngazi haraka haraka

Kufika kule nikaona Bango nikaingia Kilichonipeleka pale GHAFLA! nikakisahau,, Yule Binti Ni Mzuri!! Sijui kama alihisi..Nikamuomba Maji ya Kunywa akasimama eeeh Bwana wee...yaani Sura Nzuri sauti nzuri figa Zuri Mgongo mzuri akaenda kuniletea maji.

Mimi nikasema Moyoni kwanza jali kilichokuleta nikamuuliza Bossi nilieongea nae kama yupo akasema katoka kidogo

"Msubiri hatochelewa"..Tukaanza kuongelea Mambo ya Biashara nikayashinda matamanio Thank you God!

Namba nilichukua ila kila nikijaribu niseme niipige Nguvu Mbili ndani ya Mwili wangu zinapingana

Ila No Swaet Mke wangu pia kaumbika na Mwenzake pia kaumbika lakini Uzuri nao Ukipita Kiasi unaweza kutuletea Heart attack yule Binti kidogo aniletee.
ni ofisi gani mkuu hyo
 
Nakusifu tu na kwa kumsifia mkeo..

#Happy women's day#

cc Smart911
Ila huu mkasa sio fiction siwezi kuweka jina la Ofisi au hata jina lake kwa Sababu anaweza habari hii ikamfikia huenda ana Boyfriend,kwa maana hatukuongea zaidi ya Biashara na mimi nilimuuliza kabila lake mara ghafla mlango ukafungulwa Boss wake akaingia nikaingingia Ofisi ya Boss.
 
weka mkuu watu tukatombe
 
Niliingia Ofisi Moja Maeneo ya KAMATA nilikuwa nafuatilia Shughuli zangu,jamaa nilishaongea nae Kwenye Simu akasema Njoo.

Nikidandia BodaBoda ya Dogo Mmoja Mjanja sana halafu huwa anajua kukichezea Chombo Kile na kuwakwepa Maaskari wa jiji na Control ndio usiseme.

Vuuup!...Mpaka Ofisini nikaanza kuulizia Pale Chini ile Kampuni iko Ghorofa ya Ngapi nikaelekezwa bhana nikapanda ngazi haraka haraka

Kufika kule nikaona Bango nikaingia Kilichonipeleka pale GHAFLA! nikakisahau,, Yule Binti Ni Mzuri!! Sijui kama alihisi..Nikamuomba Maji ya Kunywa akasimama eeeh Bwana wee...yaani Sura Nzuri sauti nzuri figa Zuri Mgongo mzuri akaenda kuniletea maji.

Mimi nikasema Moyoni kwanza jali kilichokuleta nikamuuliza Bossi nilieongea nae kama yupo akasema katoka kidogo

"Msubiri hatochelewa"..Tukaanza kuongelea Mambo ya Biashara nikayashinda matamanio Thank you God!

Namba nilichukua ila kila nikijaribu niseme niipige Nguvu Mbili ndani ya Mwili wangu zinapingana

Ila No Swaet Mke wangu pia kaumbika na Mwenzake pia kaumbika lakini Uzuri nao Ukipita Kiasi unaweza kutuletea Heart attack yule Binti kidogo aniletee.

KASOME KITABU CHA SIRA 9:8 kinasema hivi,
USIMTIZAME MWANAMKE MZURI,
USIMKODOLEE MACHO MWANAMKE MREMBO ASIYE WAKO.
MAANA WENGI WAMEANGUSHWA KWA UZURI WA MWANAMKE,
MAANA JAMBO HILO HUFANYA TAMAA KUWAKA KAMA MOTO
 
Niliingia Ofisi Moja Maeneo ya KAMATA nilikuwa nafuatilia Shughuli zangu,jamaa nilishaongea nae Kwenye Simu akasema Njoo.

Nikidandia BodaBoda ya Dogo Mmoja Mjanja sana halafu huwa anajua kukichezea Chombo Kile na kuwakwepa Maaskari wa jiji na Control ndio usiseme.

Vuuup!...Mpaka Jengoni nikaanza kuulizia Pale Chini ile Kampuni iko Ghorofa ya Ngapi nikaelekezwa bhana nikapanda ngazi haraka haraka

Kufika kule nikaona Bango nikaingia Kilichonipeleka pale GHAFLA! nikakisahau,, Yule Binti Ni Mzuri!! Sijui kama alihisi..Nikamuomba Maji ya Kunywa akasimama eeeh Bwana wee...yaani Sura Nzuri sauti nzuri figa Zuri Mgongo mzuri akaenda kuniletea maji.

Mimi nikasema Moyoni kwanza jali kilichokuleta nikamuuliza Bossi nilieongea nae kama yupo akasema katoka kidogo

"Msubiri hatochelewa"..Tukaanza kuongelea Mambo ya Biashara nikayashinda matamanio Thank you God!

Namba nilichukua ila kila nikijaribu niseme niipige Nguvu Mbili ndani ya Mwili wangu zinapingana

Ila No Swaet Mke wangu pia kaumbika na Mwenzake pia kaumbika lakini Uzuri nao Ukipita Kiasi unaweza kutuletea Heart attack yule Binti kidogo aniletee.
Mkuu umeniangusha sana aiseeee Fanya mambo umlegeze mtoto huyo
 
Back
Top Bottom