Ichwampaka
Senior Member
- Nov 19, 2018
- 145
- 118
Nimekwama kupandisha hivyo video. Nimeweza kuweka kiunganisho:
Basi tufanye baadae.
Otherwise nashukuru kwamba uko mzima.
Ushasema Siku yetu ya kusifiwa leo basi mbichwa huoooo,,, thank you so much and you are welcome Mr Don
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks, ngoja niandae list yangu hapa naelekea kwenye uzi ule.
Asante
Naona na wewe uko mzima ukiendelea na kwaresma
Niliingia Ofisi Moja Maeneo ya KAMATA nilikuwa nafuatilia Shughuli zangu,jamaa nilishaongea nae Kwenye Simu akasema Njoo.
Nikidandia BodaBoda ya Dogo Mmoja Mjanja sana halafu huwa anajua kukichezea Chombo Kile na kuwakwepa Maaskari wa jiji na Control ndio usiseme.
Vuuup!...Mpaka Ofisini nikaanza kuulizia Pale Chini ile Kampuni iko Ghorofa ya Ngapi nikaelekezwa bhana nikapanda ngazi haraka haraka
Kufika kule nikaona Bango nikaingia Kilichonipeleka pale GHAFLA! nikakisahau,, Yule Binti Ni Mzuri!! Sijui kama alihisi..Nikamuomba Maji ya Kunywa akasimama eeeh Bwana wee...yaani Sura Nzuri sauti nzuri figa Zuri Mgongo mzuri akaenda kuniletea maji.
Mimi nikasema Moyoni kwanza jali kilichokuleta nikamuuliza Bossi nilieongea nae kama yupo akasema katoka kidogo
"Msubiri hatochelewa"..Tukaanza kuongelea Mambo ya Biashara nikayashinda matamanio Thank you God!
Namba nilichukua ila kila nikijaribu niseme niipige Nguvu Mbili ndani ya Mwili wangu zinapingana
Ila No Swaet Mke wangu pia kaumbika na Mwenzake pia kaumbika lakini Uzuri nao Ukipita Kiasi unaweza kutuletea Heart attack yule Binti kidogo aniletee.
Naunga mkono hoja