Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,845
Mwanamume usipomkaza vizuri manzi lazima akudharau
Asa wew ndo una akili😀😀😀😀hadi mate yamenijaa 😋😋
Enewei ukiwa single jamani unaenjoy
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa haya mambo gani umekuja kuanika siri zangu huku?![]()
Sasa Kama karibu mnamaliza Mwaka wa pili, mbona ndiyo sifa unazitoa sasa hivi!!? Siku zote ulikua wapi!!??Wengi Ni hivyo. Ila kwangu Mungu Ni mwema karibu tunamaliza Mwaka wa pili sasa![]()


that manziWeka namba tumpongeze![]()
😃😃😃😃😂😂😂🤦♀️Mara nying sana wanawake wa aina yako wanakuwa black sura za baba zao, shepu yenyewe sasa.....![]()