Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,039
Jamaa amejenga jumba la kifahari sana na hana uwezo wa kujenga nyumba nyingine ameamua akomae mwanzo mwishoalilazimishwa si aondoke akapangishe nyumba nyingine aanze maisha mengine...huko ni kufa kwa kujitakia nyambafuu,usifananishe maisha magumu wanaume wanaopitia na tabia za mjinga mmoja wa kiume
Limbwata kitambo kashageuzwa mdori zamani huyo mke alifanya hivo ili aendelee kula bata na aliyemfungua njia
Hiyo nyumba ya kifahari ataenda nayo kaburini.Jamaa amejenga jumba la kifahari sana na hana uwezo wa kujenga nyumba nyingine ameamua akomae mwanzo mwisho
Sent by Diaspora
Sasa kwa mada hii mwanamke ana kosa gani kifupi jamaa kaachwa anashindwa kujiongeza,kwenye mada sijaona chazo cha ugomvi wao.hao ndio wakina HAWA
na nyingine nyingi sana unaweza kuongeza ni kazi sana kuwaelewa wanawake mara nyingi huwa nawasifu kuwa wana mission lakini vision HAWAna sasa mwanaume ukiwafuata kwa kila kitu maendeleo yako yatakuwa changamoto kwakweli HAWAchelewi kukuingiza mkenge kwa kuwa HAWAna hasara.
- HAWAelwi
- HAWAjali
- HAWAoni
- HAWAogopi
- HAWAnashida
- HAWAtosheki
Hiki ni kisa ambacho nilishuhudia mwenyewe miaka kadhaa iliyopita kwenye nchi Fulani!
Ipo hivi jamaa alioa single mother na alishakuwa na mtoto mkubwa pia,sasa katika maisha ya ndoa jamaa akabahatika kuzaa na yule mwanamke watoto wawili!sasa baada ya hapo wanandoa hao wakaanza kugombana Mara kwa Mara hadi ikatokea kila mmoja akaanza kulala chumba chake na kila mtu akaanza kujipikia chakula chake mwenyewe ndani ya nyumba moja!
Na ikafikia time kila mtu anatoka kivyake na kurudi kivyake no kuuliza maana walikuwa hawaongei!
Mara paap! Mkeo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine na mimba ikakua na mtoto akazaliwa!
Kidume yupo tu anashuhudia mkewe kapata mtoto! Jamaa alipoanza kuleta fujo mkewe akampigia Simu mtoto wake yule wa kwanza maana ni mkubwa akaja kumtuliza baba yake wa kambo kibabe na mtoto akaamua aishi hapo hapo ili kumlinda mama yake asipate madhara yoyote kutoka kwa baba wa kambo!!
Mara paap!mimba ya pili na kidume akaanza kuja kabisa home kwa jamaa kutoa matumizi na mwenyewe mke akishuhudia bila chenga!
Kuna wanaume wanapitia changamoto kubwa sana kwa wanawake hadi Uzi huu unaruka hewani jamaa bado yupo tu hajahama kwenda popote na mkewe ameshazalishwa watoto wawili mbele ya macho yake!!
Sent by Diaspora
teh..teh..tehh.... kama lilivyo jina lako wanawake HAWAachi!Sasa kwa mada hii mwanamke ana kosa gani kifupi jamaa kaachwa anashindwa kujiongeza,kwenye mada sijaona chazo cha ugomvi wao.
Auze nyumba wagawane. Ndio madhara ya kuoa single motherHiki ni kisa ambacho nilishuhudia mwenyewe miaka kadhaa iliyopita kwenye nchi Fulani!
Ipo hivi jamaa alioa single mother na alishakuwa na mtoto mkubwa pia,sasa katika maisha ya ndoa jamaa akabahatika kuzaa na yule mwanamke watoto wawili!sasa baada ya hapo wanandoa hao wakaanza kugombana Mara kwa Mara hadi ikatokea kila mmoja akaanza kulala chumba chake na kila mtu akaanza kujipikia chakula chake mwenyewe ndani ya nyumba moja!
Na ikafikia time kila mtu anatoka kivyake na kurudi kivyake no kuuliza maana walikuwa hawaongei!
Mara paap! Mkeo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine na mimba ikakua na mtoto akazaliwa!
Kidume yupo tu anashuhudia mkewe kapata mtoto! Jamaa alipoanza kuleta fujo mkewe akampigia Simu mtoto wake yule wa kwanza maana ni mkubwa akaja kumtuliza baba yake wa kambo kibabe na mtoto akaamua aishi hapo hapo ili kumlinda mama yake asipate madhara yoyote kutoka kwa baba wa kambo!!
Mara paap!mimba ya pili na kidume akaanza kuja kabisa home kwa jamaa kutoa matumizi na mwenyewe mke akishuhudia bila chenga!
Kuna wanaume wanapitia changamoto kubwa sana kwa wanawake hadi Uzi huu unaruka hewani jamaa bado yupo tu hajahama kwenda popote na mkewe ameshazalishwa watoto wawili mbele ya macho yake!!
Sent by Diaspora
Hahahaha ludi kwenye mada Jina langu halihusuteh..teh..tehh.... kama lilivyo jina lako wanawake HAWAachi!