SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,450
Kwenye press ya Simba kuhusu jezi, Mwijaku kaongea kama nani yani kwa Simba?
Mwijaku naona kama anajipachika pachika naona yupo karibu na Simba kuanzia kombe la Azam na leo kwenye press ya Vunjabei....... sijui ila ngoja tuone.
Mkuu mjini akili na conection,ukizubaa utachoma mahindi.Kwenye press ya Simba kuhusu jezi, Mwijaku kaongea kama nani yani kwa Simba?