KERO Kuna wanafunzi wananyanyasika vyuoni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Hussein Obama

Member
Joined
May 8, 2024
Posts
13
Reaction score
7
Habarini wana JF,

Mimi ni mwanafunzi kutoka chuo kikuu kimojawapo jijini Mbeya. Chuo hiki kimekuwa kikibadili sera zake Kila unapobadilika mwaka wa masomo,,, ni hatua nzuri lakini Kuna sera zingine zinabadilika zinawaathiri wanafunzi Moja kwa Moja na hawapewi fursa ya kujitetea au kupewa taarifa juu ya mabadiliko hayo.

Mfano, kwa mwaka jana wanafunzi walikuwa wanapewa fursa ya kujisajili online kwenye account zao na kuwawezesha kudownload form za usajili na kuzitunza alafu pindi wapatapo pesa walikuwa wanaruhusiwa kuikamilisha usajili wao ambao tulikuwa pending...ila kwa mwaka huu hiyo fursa wamenyimwa na wanalazimishwa kama hawana pesa ya direct cost wa postpone masomo yao.

Wengine ni wanufaika wa mkopo na hawajapata mkopo wanasubiri wapate ili walipe ila chuo kinawalazimisha waahirishe warudi mwakani, hii haiko sawa.

Tunawaomba wana JF wajaribu kupaza sauti ili hawa watoto wa maskini walioshindwa kulipia direct cost wapewe fursa ya kufanya usajili na kuendelea na masomo yao ili bodi ikiwapa mkopo wao walipe madeni yao🙏🙏
 
Pole sana mkuu sema ingekuwa vizuri ungeweka chuo gan?
 
wana jf ndiyo wanasoma? mabadiliko huanza na wewe ndugu msomi
 
Chuo gani?
 
Back
Top Bottom