Jamani nimetoka kazini nipo hoi, nilikuwa busy sana leo. Sikupata hata nukta ya kupumzika. Nimefika home wife kaniudhi sana. Yaani nina hasira mpaka nimeshindwa kulala. Usingizi wote umeondoka. Sasa nimegundua mwenzangu anapenda ugomvi sana, nimefika mahali nimechoka sana naona siku si nyingi ntafanya kitu cha kuishangaza dunia. Naomba mniombee ili niwe na moyo wa uvumilivu, niepukane na mwovu shetani. Kila siku narudi home nimechoka lakini sipati hata nafasi ya kupumzika, nakuta maudhi ya ajabu.
Pole sana mkuu hilo ni tatizo kubwa. Umesema mkeo anapenda ugomvi basi itabidi utafute muda muafaka mkae mzungumze ili aelewe wewe hupendelei hayo makitu ya kugombana. Ni kweli wako watu wanapenda sana ugomvi na imekua hobi kwao. Kubadili mtazamo wa mtu wa aina hii inatakiwa yeye mwenyewe kwanza ajitambue na atambue kuwa ugomvi sio dili.
Umeomba jambo jema maombi , tunakuombea lkn hiyo nia yako ya kufanya kitu dunia ishangae acha kabisa mawazo hayo kwani hakuna jipya chini ya jua sana sana wewe ndio utakua looser. Amini kwamba Mungu anaweza na yuko karibu nawe kuliko unavyofikiri na anakuwazia mema daima. Mungu anakupenda jinsi ulivyo na yuko tayari kubadili hali hali hapo nyumbani kwako.Naomba amani ya Kristo ipitayo akili zote ifurike kwa wingi moyoni mwako .
haaa haaa poa lakini huyu jamaa hahitaji maombi wala nini anahitaji kujitahmini na kuangalia wapi alipojikwaa ili aondoe kisiki na kusonga mbele, tatizo hapa tuna story ya upande mmoja, uwe na mwanaume muadilifu tu, mwenyekutambua wajibu wake halafu uwe na kelele tu sidhani labda awe na upungufu wa akili
Jamani nimetoka kazini nipo hoi, nilikuwa busy sana leo. Sikupata hata nukta ya kupumzika. Nimefika home wife kaniudhi sana. Yaani nina hasira mpaka nimeshindwa kulala. Usingizi wote umeondoka. Sasa nimegundua mwenzangu anapenda ugomvi sana, nimefika mahali nimechoka sana naona siku si nyingi ntafanya kitu cha kuishangaza dunia. Naomba mniombee ili niwe na moyo wa uvumilivu, niepukane na mwovu shetani. Kila siku narudi home nimechoka lakini sipati hata nafasi ya kupumzika, nakuta maudhi ya ajabu.
Jamani nimetoka kazini nipo hoi, nilikuwa busy sana leo. Sikupata hata nukta ya kupumzika. Nimefika home wife kaniudhi sana. Yaani nina hasira mpaka nimeshindwa kulala. Usingizi wote umeondoka. Sasa nimegundua mwenzangu anapenda ugomvi sana, nimefika mahali nimechoka sana naona siku si nyingi ntafanya kitu cha kuishangaza dunia. Naomba mniombee ili niwe na moyo wa uvumilivu, niepukane na mwovu shetani. Kila siku narudi home nimechoka lakini sipati hata nafasi ya kupumzika, nakuta maudhi ya ajabu.
Jamani nimetoka kazini nipo hoi, nilikuwa busy sana leo. Sikupata hata nukta ya kupumzika. Nimefika home wife kaniudhi sana. Yaani nina hasira mpaka nimeshindwa kulala. Usingizi wote umeondoka. Sasa nimegundua mwenzangu anapenda ugomvi sana, nimefika mahali nimechoka sana naona siku si nyingi ntafanya kitu cha kuishangaza dunia. Naomba mniombee ili niwe na moyo wa uvumilivu, niepukane na mwovu shetani. Kila siku narudi home nimechoka lakini sipati hata nafasi ya kupumzika, nakuta maudhi ya ajabu.
ok!sasa chakufanya kila unaporudi kutoka kazini mbumbwinya kwanza mpaka achoke kisha ndipo upate wasaa wa kumpunzika bila shaka maudhi yatapungua,hakuna dawa nyingine.Jamani nimetoka kazini nipo hoi, nilikuwa busy sana leo. Sikupata hata nukta ya kupumzika. Nimefika home wife kaniudhi sana. Yaani nina hasira mpaka nimeshindwa kulala. Usingizi wote umeondoka. Sasa nimegundua mwenzangu anapenda ugomvi sana, nimefika mahali nimechoka sana naona siku si nyingi ntafanya kitu cha kuishangaza dunia. Naomba mniombee ili niwe na moyo wa uvumilivu, niepukane na mwovu shetani. Kila siku narudi home nimechoka lakini sipati hata nafasi ya kupumzika, nakuta maudhi ya ajabu.
Ni kweli kabisa mkuu unfortunately wengi tunaangalia juu juu tu na hata kama tukiangalia kwa jicho la ndani bado huwa hatupendi kutafuta permanent solution. Unaweza kumshauri mtoa mada kwamba amkaribishe nyumbani kwake mfalme wa amani na huyo akishaingia na kama atakabidhiwa kila kitu basi mambo lazima yawe safi lkn huenda mtoa mada asiwe radhi. Nakumbuka family flani ilikua ikitufurahia sana maisha yetu nasi hatukuwa wachoyo kwani tuliwaambia nyumba yetu anaishi mfalme wa amani na ni huyo tu ndiye anayetupa jeuri ya kuwa hivi tulivyo otherwise sisi ni binadamu kama wengine na tuna mapungufu mengi lkn huwa hatuyaoni sababu ya huyo mfalme anahodhi kila kitu.Kwa uzoefu wengi hawpendi kuzua ugomvi, ila kuna pando la hivyo, so unakuta haya huyo mwanamama baadae hujilaumu lakini huwa labda Mume akija, ANAJIKUTA hivyo. The spiritual realm (Godly and ungodly) is very real and it influences people unknowingly. and we dont even think of them as a source anyhow, But the evil spirit is really the stronghold.....
Ni kweli kabisa mkuu unfortunately wengi tunaangalia juu juu tu na hata kama tukiangalia kwa jicho la ndani bado huwa hatupendi kutafuta permanent solution. Unaweza kumshauri mtoa mada kwamba amkaribishe nyumbani kwake mfalme wa amani na huyo akishaingia na kama atakabidhiwa kila kitu basi mambo lazima yawe safi lkn huenda mtoa mada asiwe radhi. Nakumbuka family flani ilikua ikitufurahia sana maisha yetu nasi hatukuwa wachoyo kwani tuliwaambia nyumba yetu anaishi mfalme wa amani na ni huyo tu ndiye anayetupa jeuri ya kuwa hivi tulivyo otherwise sisi ni binadamu kama wengine na tuna mapungufu mengi lkn huwa hatuyaoni sababu ya huyo mfalme anahodhi kila kitu.
Ni kweli ushuhuda umekua mgumu hasa wanapotazamwa viongozi. Cha msingi sisi tuwashuhudie tu habari za huyu mfalme na wakitaka proof tuwape na hasa tuwaulize wao wanataka kifanyike nini ili waamini. Nakumbuka wakati flani nilihamia mahala flani hivyo nilikua mgeni eneo lile na kama kawaida yetu watu kadhaa wanaotufahamu walikuja kutaka huduma kwetu. Basi kupitia watu wale watu walitangaziana habari na wengi walikuja kutaka huduma.You are right.
Nakufurahia maana kwa maneno yako mnaishi maisha yenye ushuhuda.
Bahati mbaya unafiki umezidi sana siku izi na injili imerahisishwa sana kiasi unakuta unamshuhudia mtu, anaanza kukupa reference wa wapendwa au watumishi wenye tuhuma kibao za ulevi na kuchukua wake za watu na vibinti. Hata wewe mwenyewe inakua ngumu kukuamini kama uko tofauti au ni walewale. Its becoming harder to spread the good news.
Keep the going, people changes more by seeing/observing that from words though Faith comes by Hearing.
Jamani nimetoka kazini nipo hoi, nilikuwa busy sana leo. Sikupata hata nukta ya kupumzika. Nimefika home wife kaniudhi sana. Yaani nina hasira mpaka nimeshindwa kulala. Usingizi wote umeondoka. Sasa nimegundua mwenzangu anapenda ugomvi sana, nimefika mahali nimechoka sana naona siku si nyingi ntafanya kitu cha kuishangaza dunia. Naomba mniombee ili niwe na moyo wa uvumilivu, niepukane na mwovu shetani. Kila siku narudi home nimechoka lakini sipati hata nafasi ya kupumzika, nakuta maudhi ya ajabu.
Ni kweli ushuhuda umekua mgumu hasa wanapotazamwa viongozi. Cha msingi sisi tuwashuhudie tu habari za huyu mfalme na wakitaka proof tuwape na hasa tuwaulize wao wanataka kifanyike nini ili waamini. Nakumbuka wakati flani nilihamia mahala flani hivyo nilikua mgeni eneo lile na kama kawaida yetu watu kadhaa wanaotufahamu walikuja kutaka huduma kwetu. Basi kupitia watu wale watu walitangaziana habari na wengi walikuja kutaka huduma.
Tulipohamia eneo lile Kuna watu flani walisema wamezoea kuona wengi na huwa mambo yanakufa. Hatukujali Tulizidi kumtangaza huyu Bwana wa mabwana na tena eneo lile watu waliona miujiza mingi na Mungu aliwafungua wengi mpaka tulipohama . So sisi tuwashuhudie tu wapo watakaoamini mimi huwa nasema wasiweke imani kwenye majina ya watu kwani hata hao ni wanadamu wao waweke imani kwa huyo mfalme asiye na doa na wafocus kwake tu na hasa kujenga personal relationship na huyo Mfalme.
Yaani unayosema ni kweli kabisa , tatizo kubwa la waamini wa leo hawapendi kusoma neno la Mungu na hata kuliweka kwenye matendo . Na ndio maana wanatajirika sana hawa viongozi manake wanawakamua wenzao kwa kutumia mistari inayohalalisha matakwa yao, wanahubiriwa enjili za vitisho na wao wanatishika. Kwa bahati mbaya hakuna excuse kwenye hili manake ni wajibu wa kila mwamini binafsi kuwa na personal relationship na Jesus. Nakumbuka nilikua nawaencourage wapendwa flani kujisomea neno lkn waliishia njiani.Am humbled to hear that!!
Mungu aendee kuwatumia kwa utukufu wa jina lake.
Bahati mbaya wakristo wa leo wanaamini mno, kila wanachoambiwa na walishaji wao (wachungaji/manabii/mitume) wamekuwa wakitii bila hata kufikiri mara ya pili (Sio mbaya lakini inakuwaje pale wanapopotoshwa???)
Si umeona wengi siku izi akipata tu issue yoyote amaeshaaminishwa only mchungaji ana nguvu ya kumuombea, so yeye haombi au akiomba haamnini nguvu iliyo ndani yake (Mungu hutenda kazi kwa kadiri ya nguvvu iliyo ndani mwetu)
Mungu atusaidie kwa kweli.
Forward ever, backward never.
Yaani unayosema ni kweli kabisa , tatizo kubwa la waamini wa leo hawapendi kusoma neno la Mungu na hata kuliweka kwenye matendo . Na ndio maana wanatajirika sana hawa viongozi manake wanawakamua wenzao kwa kutumia mistari inayohalalisha matakwa yao, wanahubiriwa enjili za vitisho na wao wanatishika. Kwa bahati mbaya hakuna excuse kwenye hili manake ni wajibu wa kila mwamini binafsi kuwa na personal relationship na Jesus. Nakumbuka nilikua nawaencourage wapendwa flani kujisomea neno lkn waliishia njiani.