Kuna Waliochaguliwa NACTE awamu ya pili?

Kuna Waliochaguliwa NACTE awamu ya pili?

Joined
Nov 28, 2016
Posts
54
Reaction score
34
Habari za majukumu wakuu? Naomba kuuliza km nacte wameshatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na course mbalimbali za astashahada na stashahada kwa awamu ya pili.asanteni
 
Mbona hakukuwa na second round application kupitia nacte so watachaguliwaje
 
Back
Top Bottom