Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,387 Reaction score 10,965 May 17, 2013 #1 Je, nawe upo kama huyu? Attachments ImageUploadedByJamiiForums1368808991.190892.jpg 34.9 KB · Views: 450
Mtoka Mbali JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 237 Reaction score 26 May 17, 2013 #2 Binadamu ndivyo walivyo. Rafiki wa kweli ni baba na mama wengine achana nao
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,387 Reaction score 10,965 May 17, 2013 Thread starter #3 Mtoka Mbali said: Binadamu ndivyo walivyo. Rafiki wa kweli ni baba na mama wengine achana nao Click to expand... Duh! Ila watu kama hao ni wabaya na wanafiki wakubwa. Wanaojifanya wanaguswa na matatizo/shida za mtu; kumbe ndiyo wenyewe wanaobana ili husifanikiwe.
Mtoka Mbali said: Binadamu ndivyo walivyo. Rafiki wa kweli ni baba na mama wengine achana nao Click to expand... Duh! Ila watu kama hao ni wabaya na wanafiki wakubwa. Wanaojifanya wanaguswa na matatizo/shida za mtu; kumbe ndiyo wenyewe wanaobana ili husifanikiwe.
Sikonge Platinum Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,238 May 17, 2013 #4 Huyu jamaa anaitwa Ramadhani Dau, ni kiboko......