Kuna wakati wanaume naomba mtuelewe....

Kuna wakati wanaume naomba mtuelewe....

Ndo maana wengine wanataka wale dudes ambao ni xtremely funny, ili mida kama hiyo akiwa ametoka kazini na mijaziba kibao amgeuze mwenzake mpoki
 
hahahahahahah aisee

ila mie nikinuna sitaki mtu anisemeshe......

tena huwa nakaa mbali kabisa, kama ni chumbani ntaingia nijifungie nikae huko alone nikila miziki yangu....

nataka niachwe kilichonifanya ninune nikikisahau basi hali itarudi normal....
We nuna tu watu tuelekee bar tukirudi tunalala tu, hasira zikiisha tutaongea
 
Ukinuna naenda kwa nyumba ndogo siku kisirani kikiisha narudi...ndio dawa hiyo........
 
Ukinuna naenda kwa nyumba ndogo siku kisirani kikiisha narudi...ndio dawa hiyo........

nilichogundua wanaume wengi mnaishi na wake zenu kwa mazoea kitu ambacho sio kizuri....vitu vidogo vidogo kama kujali vinaweza vikawa chachu ya kumuona mwenza wako mpya kila siku...
 
nilichogundua wanaume wengi mnaishi na wake zenu kwa mazoea kitu ambacho sio kizuri....vitu vidogo vidogo kama kujali vinaweza vikawa chachu ya kumuona mwenza wako mpya kila siku...
Kwa nini isiwe wanawake ndio wanaoishi kwa mazoea??? kila siku kununa nuna?? mbona sie hatununi nuni??
 
Hapo ndio tunasema wanawake munguwenu alikufa kwanini unune badala ya kuniambia? Ukinuna itakusaidia nn mwishowe unajizeesha tu.

kuna wanaume pia wanajua kununa balaaaaa... Yaani kanuna wiki mpk mwez hata ujipendekeze vp waaapii, hao wapo sana ktk mkoa flan kati ya mikoa ya kusini mwa tz barabara kuu iendayo zambia. Looooh wanaboa sana na wanasifika kwa hasira sn
 
Wanaume hawa we acha tu, ukijifanya bubu anajifanya kipofu!!!!!
 
Kwa nini isiwe wanawake ndio wanaoishi kwa mazoea??? kila siku kununa nuna?? mbona sie hatununi nuni??

yule mkeo sio dume mwenzio, ww inabidi umuangalie kwa jicho la ziada...ukishindana na mwanamke wako unamuonea tu..
 
Kabisa, mwanamke ana hitaji kusikilizwa! Ni jukumu la mwanaume kuwa karibu na mkewe / mpenzi wake ki hisia, vinginevyo ATA TAFUTA MBADALA!
 
kwenye mapenzi hakuna utoto, mbona cha nyuma wakati unamfatilia awe mwanamke wako ulikuwa unajishusha, usilete ubaunsa kwenye mahaba....

Sasa kama nimekukosea ukinuna ndio tutatatua problem au?? Sio ubabe sema saa zingine na nyinyi mkibembelezwa mnatuendesha sana sehemu nyingine lazima kuwaendesha kwa ukali....
 
Back
Top Bottom