Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,981
- 93,978
Kwamba kuna wazee fulani wa TANU akiwemo hayati Kawawa walimchangia nauli Mwalimu Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa kule Marekani kudai uhuru wa Tanganyika.
Kwamba Uhuru tuliupata kwa njia ya mazungumzo.
Mkuu kuna kipande watu wengi huwa wanakisahau, kabla ya kuchangiana nauli hapo ni kwamba kama kawaida yetu Waafrika tuliroga kwa zindiko la kafara...
Rejelea mazungumzo ya wapigania uhuru wale waliomsaidia mwalimu, nadhani hata mwalimu mwenyewe ashawahi elezea hilo zindiko...
Hivyo si ajabu pia tulipata uhuru kwa njia ya mazingaombwe...