mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,564
Hahaha unaweza ukakikataa ulichokandika way back.Aibu ya forum kupinduka si mchezo aisee
Hahaha unaweza ukakikataa ulichokandika way back.Aibu ya forum kupinduka si mchezo aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]Hujisahau na kuanza kuchangia kwa ID za kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaaaaaaHujisahau na kuanza kuchangia kwa ID za kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]
Usiombe uzi uliouanzisha enzi za mkwere unakula good time halafu sasa hivi enzi za jiwe unaishi kama shetani.
Marafiki wamekukimbia, huna kazi, una madeni kama yote kila kona, faraja huna yaani ni kishetani shetani tu, nguo za mwanzo zote zinakupwaya umebaki kuzifunga na kamba ya mgomba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiombe uzi uliouanzisha enzi za mkwere unakula good time halafu sasa hivi enzi za jiwe unaishi kama shetani.
Marafiki wamekukimbia, huna kazi, una madeni kama yote kila kona, faraja huna yaani ni kishetani shetani tu, nguo za mwanzo zote zinakupwaya umebaki kuzifunga na kamba ya mgomba.