Mkuu niliwai kuona kwa ma angu mdg alikua mchoyo kinoma noma.Nasikia pia asali na tango pia si vzr ni kweli?
Yawezekana mkuu.Mkuu niliwai kuona kwa ma angu mdg alikua mchoyo kinoma noma.
Ametoka kutafuta tango peke ake alivomaliza akaenda kulamba asali ilikua kweny ki dressing table chake chumbani.
Baada ya dk kadhaa katoka chumbani kwake anasweat kweli kweli nkamuuliza akasema siko poa... Nkamuuliza umeenda chumbani ukala tena nn ety asali nkamwambia ww unataka kujiua ww.... Alitoa mimacho moyo mara anasema tumbo mara nn tulimpa tu maziwa alikesha bila kulala anaogopa atadead
Hii haina ukweli...!! Kula Tango na asali unakufa...?? Mm nlishakula Tango na asali mbona bado naishi na nipo hapa nmequote comment yako.Na hata uchanganyaji wa Aina tofauti tofauti za Matunda pia ni hatari kwa afya mfano....
Tikiti, chungwa, Tango.
Tango, karoti, Ndizi, parachichi.
Embe, Nanasi,miwa, ndizi nk
Hii ni hatari Sana.
NB.
UKILA ASALI NA TANGO UNAKUFA.
Basi itakuwa ni story za kwenye ghahawa.Hii haina ukweli...!! Kula Tango na asali unakufa...?? Mm nlishakula Tango na asali mbona bado naishi na nipo hapa nmequote comment yako.
Unakufa papo hapoNasikia pia asali na tango pia si vzr ni kweli?
Acha uongo usije kuua watu bure kwa masiara yako...Mimi kuna mzee jirani alikuwa anabisha akajaribu, haikupita hata nusu saa akaanza kutema povuHii haina ukweli...!! Kula Tango na asali unakufa...?? Mm nlishakula Tango na asali mbona bado naishi na nipo hapa nmequote comment yako.
Hii nimeijaribu jana. Asee lile ng'ombe bado zima na linagegeda kama limetumwa.Pia Ukitaka kuona ngo'mbe wanakufa kama utitiri watilie tu asali kwenye chakula chao.. itakua historia na haichukui sekunde
Sio kweli. Nimejaribu na sijasikia hata kizunguzungu....Unakufa papo hapo
Acha uongo usije kuua watu bure kwa masiara yako...Mimi kuna mzee jirani alikuwa anabisha akajaribu, haikupita hata nusu saa akaanza kutema povuSio kweli. Nimejaribu na sijasikia hata kizunguzungu....
Uongo mtupu. Mimi nimeshagonga asali na tango na sijaona madhara yoyote.Basi itakuwa ni story za kwenye ghahawa.
Huyo alikuwa na maagano yake na ziraili. hili nalipinga kwa 100%. Nimeshabishana sana na nimeshagonga mbele ya wabishi kama wewe...Acha uongo usije kuua watu bure kwa masiara yako...Mimi kuna mzee jirani alikuwa anabisha akajaribu, haikupita hata nusu saa akaanza kutema povu
Hii nimeijaribu jana. Asee lile ng'ombe bado zima na linagegeda kama limetumwa.
Nimepanga kuliua kwa kisu maana linawapiga sana wenzie likiwahisi wanataka kula tunda kimasihara lwa mademu zake