Kuna viumbe wadogo ila tunafanana nao

Kuna viumbe wadogo ila tunafanana nao

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,671
1393180150420.jpg
 
Duh....jamaa amekuwa minimized. ...??????

Kweli twafanana...nangojea ageuke.....
 
Not true... hayo n i mautundu tu ya watu wa ICT.
 
mi ni mbishi wa asili.

akili yangu imenituma kusema kuwa mtu huyu ana umbo lenye ukubwa kama wetu ila karanga hizi ndo kubwa kupita kiasi.hivyo mkuu utafiti itabidi title ibadilike na izungumzie ukubwa wa karanga na sio mtu.

sababu ya kutoa jibu hilo ni kutokana na ukweli kuwa mtu wa ukubwa huo ni kama sisimizi hivyo kubeba mzigo wote huo kwa kula tu haiwezekani maana hawezi kuzimaliza vile vile ubebaji hauwezi maana karanga ni kubwa mno.vile vile zana iliyoshikwa iwapo ni chuma basi karanga ya ndani pia ingedhurika.iwapo sio chuma...labda
 
Last edited by a moderator:

Mkuu karanga ni yakawaida ila hicho kiumbe ndo mdogo, chukua karanga fanya kama unaisimamisha thn ule upande mmoja wenye ile karanga yenye ndio ukubwa wa huyo kiumbe yaani ni kama nyuki hivi.
 
Last edited by a moderator:
mi ni mbishi wa asili.

akili yangu imenituma kusema kuwa mtu huyu ana umbo lenye ukubwa kama wetu ila karanga hizi ndo kubwa kupita kiasi.hivyo mkuu utafiti itabidi title ibadilike na izungumzie ukubwa wa karanga na sio mtu.

sababu ya kutoa jibu hilo ni kutokana na ukweli kuwa mtu wa ukubwa huo ni kama sisimizi hivyo kubeba mzigo wote huo kwa kula tu haiwezekani maana hawezi kuzimaliza vile vile ubebaji hauwezi maana karanga ni kubwa mno.vile vile zana iliyoshikwa iwapo ni chuma basi karanga ya ndani pia ingedhurika.iwapo sio chuma...labda

Mkuu lumanyisa angalia hapa wapo na zabibu
 
Attachments

  • 1393185034799.jpg
    1393185034799.jpg
    29 KB · Views: 139
Last edited by a moderator:
Na hayo mavazi waliovaa kama ni viumbe wameshonewa na nani au kiwanda gani?

yap hiyo ni miongoni mwa hoja kwa ninayeamini karanga ndio kubwa zaidi na mtu ni wakawaida.....japo najua picha ni yakutengeneza
 
Back
Top Bottom