Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,298
Hellow wana JF....
Katika kutembea tembea kuna vitu naona nyumba nyingi wamefanya kama mazoea na mazoea hayo yanafanya nyumba kuonekana ya low quality....
Cha kwanza kwa upande wangu sioni kama kuna haja ya chumba cha kulala kuwa na net...Mosquito Net
Ya nini sasa? Kuongeza tuu giza na uchafu..wengine wanaweka zile za pembe 4 kinakua kama kiota wanatupia nguo humo....
Labda kwa wale wenye chumba kimoja control ya chumba inakua shida akitaka kupika anatoka nje..akienda chooni nje..akitaka kumwaga maji nje...hao kweli net unaweza sema ni sawa.....la hasha
Puliza dawa au funga mlango wako wa chumba muda wote hutaona mbu...na chumba kinabakia nadhifu...
Kitu kingine ambacho naona hakina maana ndani..upande wa chooni why uweke ndoo na kopo? Si kuna shower...kuna sink pembeni..na pia kuna bomba la pembeni ya choo la pressure...la kukusaidia kujiswafi? Sasa mkopo wa nini plus ndoo...bafu linakua kama stoo..unakuta ndoo imegeuka rangi na kopo linateleza...😬😬😬...
Kuna mambo mengi sana kwny nyumba ambayo tumerithi sijui au tumekua tunayaona na tunaona ni sawa...tupeane elimu ni mambo gani au vitu gani havina maana ndani ya nyumba ili kuipa nyumba hadhi ya kuwa home sweet home...