The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,184
- 22,191
- Thread starter
- #21
Mimi siyo.mtaalamu wa perfume ila naamini zipo zenye harufu hafifu..Mwanaume makini hawezi kupiga perfume yenye harufu kaliKama ipi?
Mimi siyo.mtaalamu wa perfume ila naamini zipo zenye harufu hafifu..Mwanaume makini hawezi kupiga perfume yenye harufu kaliKama ipi?
asilimia kubwa ya watu wanaotumia hayo marashi mara nyingi huwa na kasoro aidha ni wachafu hawaogi au wanaingiliwa kinyume.so wanafanya hayo kuficha harufu
Sawa ila mnakera. Si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimes unaweza kuwa kero kwa wengine bila wewe kujua. Tumia perfume yenye harufu kidogo especially for MenHapo ungesema wewe upendi harufu kali na kuto involve others na kuanza kutoa kasoro kwa jinsia zao hio hakuna kitu ina badirisha
Kuna perfume zina harufu mzuri tu na special za kiume ila ina nukia sana acha kutumia izo spray za 7000 ukipigwa na mosh una nukia moshi acha be smartSawa ila mnakera. Si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimes unaweza kuwa kero kwa wengine bila wewe kujua. Tumia perfume yenye harufu kidogo especially for Men
GT
Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana.
We kubali tu kuwa ni we msukuma na marashi ni Onether dimension 4 ur gogorokoasilimia kubwa ya watu wanaotumia hayo marashi mara nyingi huwa na kasoro aidha ni wachafu hawaogi au wanaingiliwa kinyume.so wanafanya hayo kuficha harufu
Exactly ✊Mkuu sio kwamba wanapuliza sana bali wanatumia marashi halisi (genuine) yanayodumu sana yakipulizwa hata kidogo
Wamekusikia kiongozi..Mimi siyo.mtaalamu wa perfume ila naamini zipo zenye harufu hafifu..Mwanaume makini hawezi kupiga perfume yenye harufu kali
SanaaaaUmaskini kitu kibaya mno.
Hata wale wadada wanapiga perfume Kali mpaka akikunywesha maji unahisi unakunywa perfume na kuhiisi kichefuchefuGT
Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana.
Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima kwanupande mwingine siyo ustaarabu.
Men tubadike perfume siyo usafi Kidume wa ukweli lazima unuke kajasho kembamba ka kiume na hizi perfume zitakuhitaji kubadili nguo na kuoga mara kwa mara la sivyo utakuwa unanuka uvundo.
Unaweza kuwa smart kwa kuvaa nguo nzuri na kuogea subuni tu yenye marashi mazuri na mafuta mazuri bila perfume.
Da, ila umasikini ni kitu kibaya sana. Ndiyo maana viwanda vya kutengeneza hayo mavitu vipo, acha wenye pesa wayafurahie maisha yaoGT
Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana.
Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima kwanupande mwingine siyo ustaarabu.
Men tubadike perfume siyo usafi Kidume wa ukweli lazima unuke kajasho kembamba ka kiume na hizi perfume zitakuhitaji kubadili nguo na kuoga mara kwa mara la sivyo utakuwa unanuka uvundo.
Unaweza kuwa smart kwa kuvaa nguo nzuri na kuogea subuni tu yenye marashi mazuri na mafuta mazuri bila perfume.
Just carry ur ungwangwaasilimia kubwa ya watu wanaotumia hayo marashi mara nyingi huwa na kasoro aidha ni wachafu hawaogi au wanaingiliwa kinyume.so wanafanya hayo kuficha harufu
haha mashoga ndo wanapakaga marashi makali iliwafiche harufu ya kinyesi kinacho vujaWe kubali tu kuwa ni we msukuma na marashi ni Onether dimension 4 ur gogoroko
Mimi ni mdau sana wa manukato, nina support kwa asilimia 100 ulichosema kuanzia mwanzo mkuu, naelewa hiyo hali inavyokera. Watu inabidi waelewe sana hapo uliposema "si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimes unaweza kuwa kero".Sawa ila mnakera. Si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimes unaweza kuwa kero kwa wengine bila wewe kujua. Tumia perfume yenye harufu kidogo especially for Men