Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana.

Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima kwanupande mwingine siyo ustaarabu.

Men tubadike perfume siyo usafi Kidume wa ukweli lazima unuke kajasho kembamba ka kiume na hizi perfume zitakuhitaji kubadili nguo na kuoga mara kwa mara la sivyo utakuwa unanuka uvundo.

Unaweza kuwa smart kwa kuvaa nguo nzuri na kuogea subuni tu yenye marashi mazuri na mafuta mazuri bila perfume.
 
Back
Top Bottom