tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Sukari imekuwa adimu na ghali nchini. Bei elekezi ya 1800 haipo tena. Bandarini mizigo imepungua. Zile pump nazo sidhani kama bado zinatumika. Vyama vya Siasa vya Upinzani havina tena Uhuru wa kidemokrasia. Bunge live hakuna. Hali ya maisha ya wananchi kifedha ni taabani. Ukiangalia majanga yote hayo PM amekuwa mstari wa mbele kuyawezesha.
Kuna uwezekano mkubwa sana PM huyu hamshauri vyema Mkuu wa Nchi. Humsapoti bila kumpa angalizo la madhara ya maamuzi wanayokubaliana.
Nawasilisha
Kuna uwezekano mkubwa sana PM huyu hamshauri vyema Mkuu wa Nchi. Humsapoti bila kumpa angalizo la madhara ya maamuzi wanayokubaliana.
Nawasilisha