kuna uwezekano wa kuloggin in katika social networks bila password

kuna uwezekano wa kuloggin in katika social networks bila password

LUZ

Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
5
Reaction score
0
hi,jf users..!nilikuwa naomba msaada kwa wanaofahamu kama kuna namna ya kuloggin in facebook au twitter bila password...
 
upo uwezekano una login tu kwenye password huweki basi
 
hi,jf users..!nilikuwa naomba msaada kwa wanaofahamu kama kuna namna ya kuloggin in facebook au twitter bila password...

Password/pass phrase kwa maana ya kawaida ni vitu unavyojaza ili uweze kupita au upewe ruhusa.Sasa kwa technologia ya siku hizi kwa mfano facebook wanakwambia unaweza uka chagua 'rembember my device" hii feature inaongeza security.
Naomba maelezo kutoka kwa Iam crazy jinsi ya kulogin bila password,tukumbuke sehemu ambapo unaweza logi in bila password inawezekana wakatumia mac address ya kifaa unachotumia kukuruhusu kama umekisajili au wamelink account yako na mac address hiyo kwa software za kujua mac address yako("mac binding"),au ukatumia account nyingine kwa mfano kuna sehemu wanakwambia ulogin kwa kutumia your facebook account au ulichagua "keep me logged in" au "remember my password kwenye browser unazotumia" hizi zote hazimaanishi hujaweka password,uliweeka last time an inakumbukwa.
Binafsi naamini as far as my knowledge is concerned huwezi login sehemu bila kufanyiwa "Authentication" namanisha unatakiwa kuprove "are you who you are saying you are?" otherwise hiyo sysytem haina security.na facebook ni moja kati ya sehemu amabapo security wanaijali.
Naomba nielimishwe kama kuna kitu sikijui,"no one knows everything".
 
Back
Top Bottom