MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,235
- 13,587
Kwa ccm ilipofikia ni heri kuanza upya...Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.
Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.
Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).
Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.
Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.
Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Mimi ni mjumbe tu... Ila nimesema nini ambacho watu wa jikoni wanazungumza...Amka unaota tena ndoto zitto
Wananchi wapi huko wamesema hawamtaki?Hivi ni akili ya aina gani unaona kabisa wananchi hawakutaki wewe unashupaza shingo?shauri yako/yake
Ni kweli kabisa, Octoba tutatiki kwenye kijambio chakoEndelea kujifariji
Taifa limesema OCTOBER TUNATIKI ✅
Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.
Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.
Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).
Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.
Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.
Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Ila nyie jamaa mpaka December sjui mtakuwa na Hali gani.Ni kweli kabisa, Octoba tutatiki kwenye kijambio chako

It is very much possibleDeclaration of Interest.

Utakuwa ulikuwa unaongea tu na mhuni siyo mtu wa geti jeusi labda hukusikia vizuri ni geti la kijani.Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.
Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.
Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).
Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.
Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.
Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Hakuna kitu kama hiki, not now and never!, unless kama wewe huwajui Watanzania! Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?.