"In every Great fortune there is crime"Balzac. Anyway mleta mada , kasome riwaya ya the Godfather iliyoandikwa na Mario puzo. Huko utakutana na mwamba mmoja anaitwa Vito Corleone . Unaweza kupata sehemu ya jibu ya swali lako kuhusiana na dhana ya utajiri wa halali au haramu.