Upo mkuu bila chenga!Habarini wadau wa JF.
Miaka ya Hivi karibuni kumekuwa na Motivation speakers wengi wakiwa na Bidii ya kuwaaminisha watu Fanya hiki au kile ili uwe UTAJIRI.
Swali langu ni hili ni kweli kwamba Kuna UTAJIRI wa njia Halali YAANI yule mtu ambaye anajuhudi tu katika kazi/biashara yake/zake akawa tajiri like MILLIONAIRE PASIPO
✅ Kwenda kwa Mganga
✅ Kutoa Kafara
✅ Kubeti
✅ Kudhulumu mfano Kutolipa Kodi au Madili ya magendo
✅ Kuiba
✅ Kutenda dhambi mfano Ukahaba/Mishangazi
Na zingine zifananazo na Hizo 👆???
Katika kujibu zingatia Tofauti kati ya UTAJIRI na KUFANIKIWA!!
Anyone can be Succeed but Not Everyone can be RICH.
Wakali wa hizi kazi.Hakuna utajiri wa halali bro bila mganga hutoboi mambo hayaendi kabisa.
Nitakupa namba za mganga wangu hana mashart ya kibwege, mganga kanyooka malipo utapeleka baada ya mambo kukunyookea.
Weeee ule wali tambi??😁nilianza kupost chakula jf sasaivi napika chakula nasafirisha mpaka ujerumani
Motivation speaker
Hapana pesa huwa inakuwa na nyakati na hizohizo nyakati zina njia so issue huwa ni kusoma nyakati na hizo njia!.Najitahid kutafuta sema hizi njia za uhalali kama ngumu hv 😆
Ndio sasaiv sipumzika ni mwendo wa oda mara ujerumani mara chicago simu zinaita sana 😌Weeee ule wali tambi??😁
Big taim Sana!nilianza kupost chakula jf sasaivi napika chakula nasafirisha mpaka ujerumani
Motivation speaker
Nitafutie oda zaidiBig taim Sana!
Shar awt Sana!
Waririz waririz!
Yow! Yow!
Watz ap men!
Big up!
N.k.
Weka namba kabisa turuke naeHakuna utajiri wa halali bro bila mganga hutoboi mambo hayaendi kabisa.
Nitakupa namba za mganga wangu hana mashart ya kibwege, mganga kanyooka malipo utapeleka baada ya mambo kukunyookea.