Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
We ndio mwanaume mwambie tu kwa nini uteseke fanya vile moyo wako unapendakuna mtu nampenda humu, nitamuanzishia uzi siwez kukaa kimya wakat moyo unauma
Heri lawama kuliko fedhehaWe ndio mwanaume mwambie tu kwa nini uteseke fanya vile moyo wako unapenda
Ushauri kuntu kabisaWe ndio mwanaume mwambie tu kwa nini uteseke fanya vile moyo wako unapenda
Ntu na NtuInategemea.
Ushauri kuntu kabisa
Mwanaume ni dhambi kuogopa kurusha ndoano, hebu tumchagize athubutuAufanyie kazi kijana kwa nini anateseka bure
We ndio mwanaume mwambie tu kwa nini uteseke fanya vile moyo wako unapenda
akikubali nitaleta mrejesho humu, akikataa mkisikia kuna njemba kutoka maeneo ya mosh imeamua kuacha ugali na kufuata moto mjue n mwana jf mwenzenu mshiriki ramb ramb na wakisema n wivu wa mapenz kataeni, semen kuna mtu kamkataa, bahat nzuri ananisoma hapa
hakuna kutegemea mimi nikiongea wewe kwako kama maombi tuInategemea.
Kwa hiyo unapinga au???Hivi mtu gani alikuwa na wake 700 na masuria/michepuko 300 leo anaonekana alikuwa na hekima na busara sana?
hakuna kutegemea mimi nikiongea wewe kwako kama maombi tu
unajibu Amen
Hivi mtu gani alikuwa na wake 700 na masuria/michepuko 300 leo anaonekana alikuwa na hekima na busara sana?

Ebu ngoja kwanza kuacha ugali na kufata moto ndio ninii yaan ukufwe kwa ajili ya I'd fake na avatar kuwa serious mkuu mtu humjui