Kuna ushindi katika kukaa kimya (kunyamaza)

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
KUNA USHINDI KATIKA KUNYAMAZA
Mfalme Suleiman anasema "Mithali : Mlango 17
28 Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu."
Mfalme Suleiman Ni miongoni mwa wafalme waliojaliwa hekima na ufahamu toka juu, anafahamu umhimu wa kunyamaza Tena anaona mtu akinyamaza hata Kama Ni mpumbavu ataonekana mwenye hekima .Ni jinsi gani kunyamaza kulivo na nguvu kunabadilisha hali ya upumbavu hadi hali ya hekima.
Wanandoa wanaachana kwasababu ya kushindwa kunyamaza ,wanandoa wanatoana meno kwasababu ya kushindwa kukubali kunyamaza.
Marafiki wanahitilafiana na hatimaye kuvunja urafiki kwasababu ya kugoma kunyamaza.
Ndugu wanafikia hatua ya kupingana kwasababu ya kukataa kunyamaza.
Mataifa yanafikia hatua ya kuingia kwenye Vita kwasababu ya kurushiana maneno.
Maneno yaliwaponza wayahudi ASILIMIA kubwa wakafia jangwani.
Mdomo uliponza Musa akajikuta anakosa fursa ya kuingia kanaani.
Kuna USHINDI KATIKA KUNYAMAZA.
  • Kunyamaza Kuna punguza hasira ya mtu unayejibizana naye
  • Kunyamaza Ni njia ya kuficha madhaifu yako kwa watu Kama hasira,wivu, matusi etc
  • Kunyamaza Ni njia ya kuwachanganya adui zako wasikujue wewe Ni Nani hasa? Msimamo wako?
  • Kunyamaza Ni njia ya kumsubiria Mungu akujibu kwa wakti wake ...Maana kusema sema kunaweza kukufanya umlaumu au kumkufuru Mungu.
  • Kunyamaza kunakupunguzia Maadui,,,, Kama ulikuwa hujui mtu mwongeaji anamaadui wengi kuliko mkimya.
Jibu Ni kunyamaza tu maana Yesu wetu ndiye anayejua kesho yako ,usijitetee Sana ,Yesu alinyamaza akasema kidogo tu.
Usiwalazimishe watu wajue unaweza nyamaza ,fanya wajionea ipo siku watakusifu wao wenyewe kwa vinywa vyao.
Usiwalazimishe watu wajue umeokoka nyamaza, siku ya mwisho parapanda likilia wakikuona umetwaliwa wataamini ,Ila watakuwa wamechelewa.
Nasema Tena nyamaza ,na Mungu atakukumbuka ,maana wanadamu Wana maneno Mengi lakini usikate tamaa chakufanya Ni kunyamaza tu
 
HAPANA kwa herufi kubwa kabisa. Ukiwa na la kuongea ongea tu. Mtu hawi mjinga au mwerevu kukaa au kutokaa kimya, ukiwa na akili ukiongea hata ukiwa umeghafirika jamii itajua una akili, ukiwa jinga hata ukikaa kimya utakua jinga vile vile. Migogoro haisababishwi na watu kutokaa kimya, inasababishwa na watu kutofautiana. Ushaurii wako ni mzuri ila kwangu mimi naona bora kuzungumza.
 
Kisheria kuna kanuni inasema "Silence is sometimes equal to speaking".

Hata hivyo hakikisha kweli huo ukimya unawakilisha maneno yako!

Maana ukicheka na nyani utavuna mabua.
 
N
KUNA USHINDI KATIKA KUNYAMAZA
Mfalme Suleiman anasema "Mithali : Mlango 17
28 Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu."
Mfalme Suleiman Ni miongoni mwa wafalme waliojaliwa hekima na ufahamu toka juu, anafahamu umhimu wa kunyamaza Tena anaona mtu akinyamaza hata Kama Ni mpumbavu ataonekana mwenye hekima .Ni jinsi gani kunyamaza kulivo na nguvu kunabadilisha hali ya upumbavu hadi hali ya hekima.
Wanandoa wanaachana kwasababu ya kushindwa kunyamaza ,wanandoa wanatoana meno kwasababu ya kushindwa kukubali kunyamaza.
Marafiki wanahitilafiana na hatimaye kuvunja urafiki kwasababu ya kugoma kunyamaza.
Ndugu wanafikia hatua ya kupingana kwasababu ya kukataa kunyamaza.
Mataifa yanafikia hatua ya kuingia kwenye Vita kwasababu ya kurushiana maneno.
Maneno yaliwaponza wayahudi ASILIMIA kubwa wakafia jangwani.
Mdomo uliponza Musa akajikuta anakosa fursa ya kuingia kanaani.
Kuna USHINDI KATIKA KUNYAMAZA.
*Kunyamaza Kuna punguza hasira ya mtu unayejibizana naye
*Kunyamaza Ni njia ya kuficha madhaifu yako kwa watu Kama hasira,wivu, matusi etc
*Kunyamaza Ni njia ya kuwachanganya adui zako wasikujue wewe Ni Nani hasa? Msimamo wako?
*Kunyamaza Ni njia ya kumsubiria Mungu akujibu kwa wakti wake ...Maana kusema sema kunaweza kukufanya umlaumu au kumkufuru Mungu.
*Kunyamaza kunakupunguzia maadui,,,, Kama ulikuwa hujui mtu mwongeaji anamaadui wengi kuriko mkimya.
Jibu Ni kunyamaza tu maana Yesu wetu ndiye anayejua kesho yako ,usijitetee Sana ,Yesu alinyamaza akasema kidogo tu.
Usiwalazimishe watu wajue unaweza nyamaza ,fanya wajionea ipo siku watakusifu wao wenyewe kwa vinywa vyao.
Usiwalazimishe watu wajue umeokoka nyamaza, siku ya mwisho parapanda likilia wakikuona umetwaliwa wataamini ,Ila watakuwa wamechelewa.
Nasema Tena nyamaza ,na Mungu atakukumbuka ,maana wanadamu Wana maneno Mengi lakini usikate tamaa chakufanya Ni kunyamaza tu
Naona kama nakumbushwa kuendelea kua mkimya elimu nzuri sana kwa wazee wa kuropoka
 
KUNA USHINDI KATIKA KUNYAMAZA
Mfalme Suleiman anasema "Mithali : Mlango 17
28 Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu."
Mfalme Suleiman Ni miongoni mwa wafalme waliojaliwa hekima na ufahamu toka juu, anafahamu umhimu wa kunyamaza Tena anaona mtu akinyamaza hata Kama Ni mpumbavu ataonekana mwenye hekima .Ni jinsi gani kunyamaza kulivo na nguvu kunabadilisha hali ya upumbavu hadi hali ya hekima.
Wanandoa wanaachana kwasababu ya kushindwa kunyamaza ,wanandoa wanatoana meno kwasababu ya kushindwa kukubali kunyamaza.
Marafiki wanahitilafiana na hatimaye kuvunja urafiki kwasababu ya kugoma kunyamaza.
Ndugu wanafikia hatua ya kupingana kwasababu ya kukataa kunyamaza.
Mataifa yanafikia hatua ya kuingia kwenye Vita kwasababu ya kurushiana maneno.
Maneno yaliwaponza wayahudi ASILIMIA kubwa wakafia jangwani.
Mdomo uliponza Musa akajikuta anakosa fursa ya kuingia kanaani.
Kuna USHINDI KATIKA KUNYAMAZA.
  • Kunyamaza Kuna punguza hasira ya mtu unayejibizana naye
  • Kunyamaza Ni njia ya kuficha madhaifu yako kwa watu Kama hasira,wivu, matusi etc
  • Kunyamaza Ni njia ya kuwachanganya adui zako wasikujue wewe Ni Nani hasa? Msimamo wako?
  • Kunyamaza Ni njia ya kumsubiria Mungu akujibu kwa wakti wake ...Maana kusema sema kunaweza kukufanya umlaumu au kumkufuru Mungu.
  • Kunyamaza kunakupunguzia Maadui,,,, Kama ulikuwa hujui mtu mwongeaji anamaadui wengi kuliko mkimya.
Jibu Ni kunyamaza tu maana Yesu wetu ndiye anayejua kesho yako ,usijitetee Sana ,Yesu alinyamaza akasema kidogo tu.
Usiwalazimishe watu wajue unaweza nyamaza ,fanya wajionea ipo siku watakusifu wao wenyewe kwa vinywa vyao.
Usiwalazimishe watu wajue umeokoka nyamaza, siku ya mwisho parapanda likilia wakikuona umetwaliwa wataamini ,Ila watakuwa wamechelewa.
Nasema Tena nyamaza ,na Mungu atakukumbuka ,maana wanadamu Wana maneno Mengi lakini usikate tamaa chakufanya Ni kunyamaza tu
Utafiti unasema watu waongeaji sana na wanaopenda kulalamika huishi maisha marefu sana kuliko watu wasiopenda kuongea...kwa sababu wasiopenda kuongea wanabeba mizigo mkubwa kwenye nafsi zao na kusababisha msongo wa mawazo.
 
wengine wanaongea kwasababu wanapenda kuongea ila wengine wanaongea kwa sababu wanatakiwa waongee

hebu fika mahakamani halafu mtuhumiwa akae kimya utaona kitakachomkuta
 
Utafiti unasema watu waongeaji sana na wanaopenda kulalamika huishi maisha marefu sana kuliko watu wasiopenda kuongea...kwa sababu wasiopenda kuongea wanabeba mizigo mkubwa kwenye nafsi zao na kusababisha msongo wa mawazo.
Sema kweli mkuu
 
Kila mtu akifuata huu ushauri wako ina maana wote tutakua mabubu?! Ulitakiwa uweke wazi ni wakati gani au inapotokea situation gani ndio mtu anyamaze?

Kuongea kunapunguza jazba na msongo wa mawazo,huu ushauri wako ni hatari kwa afya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom