Kuna usalama Kawe, Tanganyika packers kwa Mwamposa?

julnd

Senior Member
Jan 4, 2019
116
59
Habarini wanajamvi. Pale Kawe kuna majengo ya iliyokuwa wakati mmoja Tanganyika Packers ambayo hayako imara kwa kuwa hayajatumiwa kwa muda mrefu. Shida yangu ni kuwa kanisa la mchungaji Mwamposa limehamia pale na ni sawa kwa sababu pana nafasi ya kutosha. Tatizo ni kuwa wanafanya ibada ndani ya lile jengo halafu ni watu wengi kweli kweli. Hoja yangu ni kuwa lile jengo lingekarabatiwa na kuimarishwa kwanza kabla ya kutumika lisije kutokea la kutokea halafu ikawa habari nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pale nyomi ile Ni hatari.ivi Buldoza anamiliki mpaka arise and shine TV kwanini asitafute eneo kubwa maeno ya Kibaha au hata Bagamoyo?wanataka wote wabanane mjini hapa.
 
Leo nimewahi nafasi.Mkuu pale nyomi ile Ni hatari.ivi Buldoza anamiliki mpaka arise and shine TV kwanini asitafute eneo kubwa maeno ya Kibaha au hata Bagamoyo?wanataka wote wabanane mjini hapa.
Sijajua ila nataka kuamini ana mpango kama huo vinginevyo kwa vyovyote vile lazima yuko pale kwa muda mfupi ila usalama wa waumini hauko guaranteed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu endèlea kupaza sautí labda mamlaka husika wătakusikia
Kuna wakati mchungaji Ngwajima alipiga kambi pale pale ila yeye hakutumia yale majengo ibada alikuwa anaendesha katika open air hadi alipoondolewa baada ya awamu ya tano kuchukua madaraka. Kwa hivyo ibada zake kiusalama zilikuwa safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati mchungaji Ngwajima alipiga kambi pale pale ila yeye hakutumia yale majengo ibada alikuwa anaendesha katika open air hadi alipoondolewa baada ya awamu ya tano kuchukua madaraka. Kwa hivyo ibada zake kiusalama zilikuwa safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha apige pesa kwanza ili baadae ajenge kanisa lake mkuu
 
Habarini wanajamvi. Pale Kawe kuna majengo ya iliyokuwa wakati mmoja Tanganyika Packers ambayo hayako imara kwa kuwa hayajatumiwa kwa muda mrefu. Shida yangu ni kuwa kanisa la mchungaji Mwamposa limehamia pale na ni sawa kwa sababu pana nafasi ya kutosha. Tatizo ni kuwa wanafanya ibada ndani ya lile jengo halafu ni watu wengi kweli kweli. Hoja yangu ni kuwa lile jengo lingekarabatiwa na kuimarishwa kwanza kabla ya kutumika lisije kutokea la kutokea halafu ikawa habari nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepagawa na muujiza unafikiri wanafikiria Hilo? Bendera zipo zitapepea tu nusu mlingoti kwani shida nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu. inasemekana Yana usalama wa kutosha, baada ya nhc kukabidhiwa eneo lote la tanganyika packers Wataalam walikuja kupima wakajiridhisha kabisa kua hayo majengo bado ni salama kwa matumizi.

Baadhi ya majengo yalibimolewa baada ya kuonekana hayafai kwa matumizi.

Back
Top Bottom