Kuna Upendeleo wa wazi kwa Waislamu Tanzania!

Imekuwa ni dhahiri na ni wazi kabisa kuwa sasa Waislamu wanafanya wanalotaka tena kwa kujiamini kabisa.

Hili limeonekana kuanzia harakati za Uamsho znz, Kugomea sensa, kuchoma makanisa nk.

Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine hatua kali zingechukuliwa.

Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.

Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.

Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.

View attachment 68265

unataka vita wewe!
 
Mkuu ana jipya wewe ndio huna jipya yaani kama huoni hata kusikia tu ni shida,kumbuka kutokuona kwako au kusikia kwako ipo siku utakubaliana na hoja ya mtoa mada

kila 1 anayechangia mada ana justify upande wake,naomba tusikimbilie kwenye matatizo yanayotokea kwa ss nakusahau wap tulipojikwaa kwan ktk haya mambo yakiroho hamna kundi litakalo admit kuwa lipo wrong bt what i knw ts not bad to do mistake bt da important things z to be manner enough to admit ur mistak !
 
Acha kabisa uchochezi.Kumbuka ukimchokoza mtu ina maana unamtaka ajibu na kumchokoza mtu sio mpaka uende mwenyewe waweza kumtuma mtu na sio lazima umtume mtumzima welaweza pia kumtuma hata mtoto alioanza mwezi huu kutembea.Kuhusu serikali:hivi wewe,una loo yanamnagani kuilaum serikali?hivi ulitaka watu waliokamatwa woote zaidi ya 70 bara na zaidi ya 200 visiwani wauwawe?au we ulitakaje hasa au wislaam ufutwe ibaki dini yako yakikafiri tu?au unafikiri serikali ya chama unacho kitaka wewe itachukua dola na kufuta wislaam?mbali naserikali tuliyonayo kutumia mfumo cristo kutawala we hujarizika tu.Kwa taarifa yako chama unachotaka wewe kisicho na sera madhubuti kilicho sheheni udini na ukanda chenyeuwezo mkubwa wakutaja matatizo tuliyonayo bila kutoa suluhu yake na kukawia kutukana cama tawala tu katu HAKITASHIKA DOLA kwani wananchi tukomakini hatuwezi kumchagu mtu kwakelele zake tu zisizo na tija kwawananchi mawazohayo FUTA na ufunge mjadala wakuwachochea na kuwachoka zaidi waislaam hapa HATUHITAJI.
 
Wakristo kuna wakati watachoka, maana makanisa yalichomwa kule zanzibar , bagamoyo, tunduru na sasa mbagala, lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya hawa watu. ivi umewahi kusikia wakristo wamechoma msikiti mahali fulani? .

Hivi huwa tunaogopa au nini, manake tuache utani jamaa wako ngangali ...
 
Back
Top Bottom