Kuna Upendeleo wa wazi kwa Waislamu Tanzania!

SAM_2248.JPG

Kanisa lililoharibiwa Mbagala
 
Najua wengi itawagusa lakini ndiyo ukweli wenyewe!

Hebu fikiri kama yule mchungaji wa mbagala aliye ruka ukuta kujiokoa ni daktari katika hospitali ya kanisa alafu anakuja mwislamu anaumwa atamtibuje!

Katika majukwaa tunaweza kusema sana kwamba tunasamehe na kupendana lakini mioyoni sidhani.

Nimewahi kufanya kazi kitengo fulani cha kanisa, ukiangalia kama watu wanachoma makanisa, haya mwingine kajibana kaanzisha ka mradi kake anafuga nguruwe asomeshe watoto apate kula aishi wanamchomea ndani! Upendo unatoka wapi?

Siyo rasmi lakini kama hata kwenye nyumba wametangaza nyumba ya mwislamu mkristo asikae na inatendeka watu wanafukuzana iweje leo mnakuja hospitali zetu za kanisa, tumejenga kwa sadaka zetu! Na tunavyojua wenyewe. Mnachoma makanisa yetu alafu mnaleta fomu zenu kujiunga na vyuo vyetu vikuu. Pana upendo kweli hapo? Tumekaa kimya wanadhani ugomvi umeisha sidhani. Inafika wakati watoto wao wakija shuleni kwetu ondoa na wa kwetu walioko kwao warudi, maana hatuchangamani. Na wala sioni sababu ya ushirika na hawa wauwaji.

Kama viongozi wetu wa kikristo hawatoi tamko basi nadhani waislamu wajitambue kuanzia tunapoishi, mashuleni ikija fomu ya mwiskamu weka kapuni, vyuo vikuu pia, na hata huko hospitalini wakija weka kwenye kusubiri mpaka kesho! Ndicho wanachotaka hawa.

Maana kama wana element ya kutu dhalilisha kutuua kutuchoma moto, inakuwaje sie kuwahudumia.. Haiwezekani kuchangamana na muuwaji, ni adui tayari.

Wakristo hima kimyakimya tufunge boot.

nawasilisha.
 
sidhani walitengeneza sinema ya "the innocence of Muslims" walikosea? Hawa jamaa wanapenda sana kuandamana na kufuata mikumbo bila hata kutafakari..
 
Hizi dini zitatupeleka pabaya..Comeon people..tuache kuchochea mambo.Kama sisi wakristo tuonyeshe tofauti kwa kuomba zaidi....Ili amani iendelee kuwepo
 
Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine wangekuwa majeruhi, marehemu na mahabusu watu wengi sana.

Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.

Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.

Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.[/QUOTE]

Goodrich wewe ni mtu hatari sana. Umezaliwa juzi tu, unakumbuka msikiti wa mwembechai, wangapi waliuawa wakati ule, acha kuropoka.
 
Goodrich wewe ni mtu hatari sana. Umezaliwa juzi tu, unakumbuka msikiti wa mwembechai, wangapi waliuawa wakati ule, acha kuropoka.

Tatizo jingine ni kuwa nyinyi ni WAGUMU sana kuelewa !
Labda mpaka tukuwekee video uone watu hawana silaha wanauawa, lakini nyinyi mpaka mnachoma makanisa na bado mpo kwenye mitandao mnaendeleza malumbano wkt ukweli upo wazi!
 
chuki ipi kwani waislamu hawatuchomea makanisa unachobisha ni nn? Usiwe mpofu wa dini sheikh Francis Jr ... Jitofautishe na ponda ambae hajaenda shule hata kidogo yule tunajua kuwa kukosa kwake ilmu ndiko kunamfanya kuwa vile alivyo

Askofu Remote aliyeanza uchokozi nani kama si yule mtoto aliyekojolea kitabu cha mwenziwe, usiwe bias kwa kuwa aliyefanya vile ni mkiristu mwenzio.
 
Askofu Remote aliyeanza uchokozi nani kama si yule mtoto aliyekojolea kitabu cha mwenziwe, usiwe bias kwa kuwa aliyefanya vile ni mkiristu mwenzio.

Kwa waislamu kitabu chao ni zaidi ya madhabahu ya kanisa.
Mbona nyie makanisa yalivyopigwa mawe hamjapuuza kanisa si jengo tu.
 
Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine wangekuwa majeruhi, marehemu na mahabusu watu wengi sana.

Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.

Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.

Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.

Goodrich wewe ni mtu hatari sana. Umezaliwa juzi tu, unakumbuka msikiti wa mwembechai, wangapi waliuawa wakati ule, acha kuropoka.[/QUOTE]

Wewe ndiyo mtu hatari sana tena wa kuogopwa kama ukoma na uliyezaliwa jana. Nani kakuambia msikiti wa mwembechai ulichomwa moto? Uvamizi uliyofanywa na polisi una uhusiano gani na ukristo?? Acha kuropoka usiyoyajua. DINI YA UPANGA!!?
 
Imekuwa ni dhahiri na ni wazi kabisa kuwa sasa Waislamu wanafanya wanalotaka tena kwa kujiamini kabisa.

Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine wangekuwa majeruhi, marehemu na mahabusu watu wengi sana.

Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.

Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.

Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.

hivi wakat unakuja na hili bandiko ulishafanya utafiti,,,,
KAMA HUJI ULIZA NDO USEME,,,,UNAYAKUMBUKA MAUAJI YA MWEMBE CHAI????POLISI WALIWAPIGA WAISLAM WAKIWA NJE AU NDANI,KAMA HUJUI WAULIZE WATU WENYE KUFAHAM,USIJIKIE TU KUJA NA BANDIKO HATA KAMA HALINA MANTIKI,,,,NA PIA TUMIA HILI JUKWAA KUKEMEA UDIN NA WALA SI KUUNDELEZA
 
Ni wazi kuwa mambo yanayofanywa na waislamu ingekuwa ni dini nyingine wangekuwa majeruhi, marehemu na mahabusu watu wengi sana.

Tumeshuhudia polisi wakivamia makanisa na kukamata watu, kupiga watu, nk lakini sio kwa Waislamu.

Kama ambavyo vyombo vya dola vinaipendelea CCM, ndivyo hivyo vinavyowapendelea Waislamu.

Kanisa mpaka linachomwa moto ! Sijui ikiwa kwa upande wa pili kama patakalika.

Goodrich wewe ni mtu hatari sana. Umezaliwa juzi tu, unakumbuka msikiti wa mwembechai, wangapi waliuawa wakati ule, acha kuropoka.[/QUOTE]

huyu unayemwambia ni MTOTO HATA UBWABWA WA SHINGO HAUJAMTOKA,,,,,ACHANA NAE,anasubiria boom hapo kwenye foleni
 
Goodrich wewe ni mtu hatari sana. Umezaliwa juzi tu, unakumbuka msikiti wa mwembechai, wangapi waliuawa wakati ule, acha kuropoka.

Wewe ndiyo mtu hatari sana tena wa kuogopwa kama ukoma na uliyezaliwa jana. Nani kakuambia msikiti wa mwembechai ulichomwa moto? Uvamizi uliyofanywa na polisi una uhusiano gani na ukristo?? Acha kuropoka usiyoyajua. DINI YA UPANGA!!?[/QUOTE]

rejea mada yako dont skip,,,,,,,usiwe na akili za mbuzi
 
Tatizo jingine ni kuwa nyinyi ni WAGUMU sana kuelewa !
Labda mpaka tukuwekee video uone watu hawana silaha wanauawa, lakini nyinyi mpaka mnachoma makanisa na bado mpo kwenye mitandao mnaendeleza malumbano wkt ukweli upo wazi!

kwa hiyo unashauri tuondoke humu????
 
maana ya ubaguzi kama ilivoainishwa na katiba ya jamhuru wa muungano

Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii

neno "kubagua" maana yake ni kutimiza haja, haki au mahitaji
mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao,
kabila, pahala walipotokea, maoni yao ya kisiasa, rangi, dini,
jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina
fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na
kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa
aina nyingine wanatendewa tofauti au wanapewa fursa au faida
iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima, isipokuwa kwamba neno
"kubagua" halitafafanuliwa kwa namna ambayo itaizuia Serikali
kuchukua hatua za makusudi zenye lengo la kurekebisha
matatizo katika jamii.

ni wazi kwamba kundi fulani la watu, wanabaguliwa huhitaji kwenda shule kuliona hili
 
maana ya ubaguzi kama ilivoainishwa na katiba ya jamhuru wa muungano Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno "kubagua" maana yake ni kutimiza haja, haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao, kabila, pahala walipotokea, maoni yao ya kisiasa, rangi, dini, jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima, isipokuwa kwamba neno "kubagua" halitafafanuliwa kwa namna ambayo itaizuia Serikali kuchukua hatua za makusudi zenye lengo la kurekebisha matatizo katika jamii. ni wazi kwamba kundi fulani la watu, wanabaguliwa huhitaji kwenda shule kuliona hili
Lakini kuna watu hawataki kukubali. Kuna watu wana haki ya kujichukulia sheria mkononi. Tumeona Uamsho znz, kugomea sensa, kuchoma makanisa, nk
 
Back
Top Bottom