MASHIRI
New Member
- Mar 16, 2013
- 3
- 0
MBIO ZA MWENGE! Habari zenu wadau wa tasnia hii ya siasa kabla sijaanza kutoa ya moyoni matumaini yangu ni mzima wa afya njema kabisa kama hauko vizuri kiafya basi muombe mungu yeye ndio muweza wa yote atakusaidia.
Nianze kwa kusema tu kwamba mi nikijana mwenye umri mdogo sana lakini nimekuwa nikisikia mbio za mwenge tangu niko mtoto, Nasasa nimeziona nikiwa mkubwa kwa akili yangu enzi za utoto wangu nilidhani yale ni maonyesho tu kama maonyesho mengine lakini nimekua na akili timamu nimeambiwa MBIO ZA MWENGE ni moja kati ya mambo yanayoonyesha kuwa Watanzania wako wamoja.
Mimi Hoja yangu ya msingi ni kwamba Zimekuwa zikitumika hela nyingi sana pale wakati wamwenge wakati kuna baadhi ya shule Hazina Madawati,Mahabara,Walimu Na vifaa vya kufundishia. Sisemi kwamba tuache kabisa mbio hizi? lakini tungeandaa mpango mbadala wa matangazo kuonyesha watanzania tupo na Umoja badala yake Fedha hizo tuzipeleke kwenye matatizo ya ELIMU Nchini Ambalo namimi ni mmoja kati ya Waathirika hao Nilimaliza 2009 O'level shule fulani MBUGANI SEC SCHOOL iko Kwetu Mwanza Nyamagana, shule Haikuwa na mahabara,Library ambayo kwanguvu za mwenyezi mungu tulifaulu watu 36 kati ya 168 tuliofanya mtihani.
Nimepata uchungu wa kuandika nakala hii kwamaana naona Kiwango Cha ufaulu Kinapungua mwaka hadi mwaka kwenyeshule yetu na shule zingine Hapa Tanzania natolea mfano Mwaka huu wamefaulu 3 tu tena kwa ngazi ya Daraja la 3.
Hebu serikali Iangalie isitishe Mbio hizi Hata kwa mwaka 1 au 2 alafu fedha zake zitumike kupunguza tatizo hili la
vifaa na Walimu Tanzania nzima.Mkiona hili swala Hamuwezi kulitatua wenyewe kama serikali basi waachieni wananchi watoe maoni yao kwenye vyombo vya habari kwa siku hata TANO vyombo vya habari visitishe matangazo yao na kushughulikia hili swala ambalo ni Janga la TAIFA.
Mwisho:Mimi napenda siasa na ni Mwanachama Mzuri tu wa CHADEMA,Hila nitakua mchoyo wa shukrani nisipo washukuru baadhi ya viongozi wanaofanya vizuri,Nianze na Katibu mkuu wangu wa chama Dr.wilbroad slaa, Mkt Freeman Mbowe, Mh John Mnyika, Mh Zitto kabwe,Mh Halima mdee, Mh James Mbatia (NCCR), Mh mwakyembe (CCM), Mh Magufuli.
MWISHO KABISA:Kwenye swala la ELIMU tuacheni ubabaishaji tuweke itikadi zetu kando tuijenge nchi liwe kama swala la MAJI.Naomba sana serikali itafakali hoja na mapendekezo niliyotoa hapo juu kwa pamoja tutainua ELIMU YETU.
" Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania na Viongozi wote Waadilifu Wafanyie kazi Hoja hii"