kuna ukweli?

jaribu ujinga uone kama ndio ujasiri wa maisha..
 
hii ni kweli kabisa....
Mbona wasomi wengi ndio wanaiharibu nchi wamekalia ujizi tu
 
aio kuaoma bali kusoma sana ni kuogopa kujiamini
 
Wanaobisha wooote wawaangalie maprofessor. Waanzie na muhongo alivyo mwoga kuwekeza kwenye gas kiasi cha kutuweka kwenye woga wake sisi watanzania woooote.

Tibaijuka naye alivyo mwoga! mtu ana mapesa mengi tu kutoka UN vijisenti vichache vya ruge vimemfuta na kumuondoa kwenye kundi la wajasiri
professor wa kichina nawaachia mumdadavue.
 
wanasema kama ujinga ni mtaji hebu jaribu...

uwezo wake wa kusoma na kuandika ndio umemfanya aweze hata kuandika hapo lakini bado anapiga majungu kuwa elimu haifai...
 
wanasema kama ujinga ni mtaji hebu jaribu...

uwezo wake wa kusoma na kuandika ndio umemfanya aweze hata kuandika hapo lakini bado anapiga majungu kuwa elimu haifai...

lakin utambue kuwa amesema kusoma sana...
Ni kweli kusoma sana ni woga wa maisha mara leo umemaliza diploma, mara degree, hapo bado unakula kwa baba na mama, mara masters, mara PhD hapo bado anakula kwa baba na mama...

Ukweli ni kwamba maisha ni mipango, unaweza kuwa profesor lakn bado ukawa mpiga mizinga
 
hii ni kweli kabisa....
Mbona wasomi wengi ndio wanaiharibu nchi wamekalia ujizi tu

Halafu matajiri wengi duniani sio watu wa vidato-na wanawaajiri watu waliobobea kwenye fani mbalimbali!!
 
Kwa nini hawawaajiri watu wasiobobea kwenye fani mbalimbali???

Halafu matajiri wengi duniani sio watu wa vidato-na wanawaajiri watu waliobobea kwenye fani mbalimbali!!
 
unamkusudia nani hapa, mbona Mengi kaenda vidato?

Bahkresa na Mengi walianza harakati bila shule, Mengi alikuja kujiendeleza ila nnamashaka na bahkresa. Wasomi wengi hawawezi kutake riski, kila kitu anachofanya anaangalia riski zilizopo, so wengi wanapenda kuajiriwa tena na watu wasiosoma. Huo ndo ujinga wa elimu, tunavitumia tulivyo vikariri, akijitahidi sana ataanzisha tuition km hata kuwa tapeli wa mitandao. Anyway hata huko ni kujiajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…