CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 20,978
- 40,966
Bado, siku wakijitambua na tukapata vijana wazalendo kama Captain Ibrahim Traore wa Bukina Fasso ndiyo mwisho wa hili genge la wahuni wanaojiita Chama Cha Mapinduzi.Kama nikweli basi wameanza kujitambua.
Jeshi linapata wapi mabavu ya kulikatalia bungeKuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.
Jeshi linakuwa la undugu. Jeshi limeapa kuwataja kwa majina na kuchukua hatua. Ilisema sehemu ya tetesi hiyo.
Hivi karibuni Jeshi limelikatalia Bunge kuondoa kigezo cha JKT ktk uandikishaji licha ya Bunge kupinga kigezo hicho.
Kumbuka kuwa kigezo cha kujiunga majeshi yote humu nchini ni lazima uwe umepitia JKT.
Kuna ukweli wowote kuwa Jeshi sasa linataka kuwa huru?
Ajira zote hapa Tz ukiacha taasis za benki na vyuoni kupata waadhiri , ajira nyingi watu wanaenda na vimemo kutoka CCM( kwa wanasiasa). Ni ajira chache sana ambazo hazina vimemo.
Nimejulishwa kuwa clip ile ni ya mwaka 2018Kuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.
Jeshi linakuwa la undugu. Jeshi limeapa kuwataja kwa majina na kuchukua hatua. Ilisema sehemu ya tetesi hiyo.
Hivi karibuni Jeshi limelikatalia Bunge kuondoa kigezo cha JKT ktk uandikishaji licha ya Bunge kupinga kigezo hicho.
Kumbuka kuwa kigezo cha kujiunga majeshi yote humu nchini ni lazima uwe umepitia JKT.
Kuna ukweli wowote kuwa Jeshi sasa linataka kuwa huru?
Hapana hii ni kuwabrain wash WATANZANIA ili wadhanie kuwa jeshi linamisimamo yake lenyeweKuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.
Jeshi linakuwa la undugu. Jeshi limeapa kuwataja kwa majina na kuchukua hatua. Ilisema sehemu ya tetesi hiyo.
Hivi karibuni Jeshi limelikatalia Bunge kuondoa kigezo cha JKT ktk uandikishaji licha ya Bunge kupinga kigezo hicho.
Kumbuka kuwa kigezo cha kujiunga majeshi yote humu nchini ni lazima uwe umepitia JKT.
Kuna ukweli wowote kuwa Jeshi sasa linataka kuwa huru?
π€π€π€πππBunge walikuwa sahihi. JWTZ kama limekomalia huo utaratibu ni makosa makubwa.
Raia wote wanatakiwa kuwa na mafasi sawa ya kwenda jeshini.
Kwa sasa ni rondomly selection zinafanyika kwa hao form six kwenda jeshini.
Wapo vijana wanaoishia form 4 na kupita njia nyingine.
Sio kila mtu anaweza kuwa askari,ila inapaswa kuwe na uwezekano sawa wa kila raia kupata nafasi ya jeshi.
Vinginevyo itakuja kutokea shida, uzalendo hautakuwepo.
DuuuuhhJeshi lilijibu hoja hiyo clear bilankupepesa macho kuwa linafanya kazi na kuwajibika kwa amiri jeshi mkuu na sio bunge.
Bunge wasijisahaulishe kuhusu mamlaka yao.
Je kilichopo huko hakitumiki saivi jeshini? Je vimemo vimerudi?Nimejulishwa kuwa clip ile ni ya mwaka 2018