Kuna ukweli wowote?

Kuna ukweli wowote?

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
2,691
Reaction score
4,390
Kuna ukweli wowote hapa wakuu hii nimekutana nayo leo kwenye comments kwenye uzi wa Buyobe

Kwamba kuna watu walikuwa wanapita hasa kwenye maeneo yaliyopoa kuwaamsha watu waingie road ila wao walikuwa hawaguswi wala kukamatwa

Screenshot_20251107_132507_X.jpg
 
Kuna akili inaniambia ni kafala lilikuwa limeandaliwa na huyu shetani aliombwa idadi kubwa sana ya watu ndo maana alimua kuwafata watu hadi majumbani

Mfano katoro na Geita,watu walikuwa hata hawana huo mzuka mara ghafla pakanuka na pakanuka haswa hasa hasa geita

Katoro watu walikuwa wametulia jamaa mmoja akajipitisha na baiskel ya mitano tena na kuanza kuwazingua watu kwa kuwaoneshea ishara ambazo sio ndo pakanuka

Geita watu wameingia barabaran jioni ya tarehe 29

Kwanza huu ujasiri umetokea wapi!,aiseee uchawi upo ni watu walikuwa wamepandishwa mapepo

Kwenye godown la magodoro waandamanaji wakajipiga moto wao wenyew
 
Mkuu, inasemekana Geita ilikuwa mpambano wa silaha kwa silaha.
 
Kuna akili inaniambia ni kafala lilikuwa limeandaliwa na huyu shetani aliombwa idadi kubwa sana ya watu ndo maana alimua kuwafata watu hadi majumbani

Mfano katoro na Geita,watu walikuwa hata hawana huo mzuka mara ghafla pakanuka na pakanuka haswa hasa hasa geita

Katoro watu walikuwa wametulia jamaa mmoja akajipitisha na baiskel ya mitano tena na kuanza kuwazingua watu kwa kuwaoneshea ishara ambazo sio ndo pakanuka

Geita watu wameingia barabaran jioni ya tarehe 29

Kwanza huu ujasiri umetokea wapi!,aiseee uchawi upo ni watu walikuwa wamepandishwa mapepo

Kwenye godown la magodoro waandamanaji wakajipiga moto wao wenyew
"Kwenye godown la magodoro waandamanaji wakajipiga moro wao wenyewe "
Sio poa.
 
Kuna mkoa wanajeshi walipita kushawishi raia waandamane kuwa watawalinda. Hata Dodoma pia.

Kumbe ni majoka ya kibisa jeshi zima makanali uchwara. Jeshi gani linatwekwa na Mafwele na kuchapwa viboko matakoni.
Mambo yame haribika siku ya pili baada sidiefu kusoma Sms alio tumiwa
 
Kilikuwepo kikundi cha kuhamasisha maandamano (kuna mmoja alikuwemo kwenye maandamano namfahamu na alitoka mkoani zaidi ya mwezi walikuwepo dar) ila tukubaliane wananchi ccm na serikali yake tumeichoka na sababu zinajulikana hivyo ilikuwa km kusukuma mlevi au mtu aliyechuchumaa,

Hata sie ambao ni wanafiki hatukutoa mguu ndani ila tulivyokuwa bize kushangilia na kusambaza habari kwwnye simu acha kabisa ilikuwa kila baada ya nusu saa utasikia nina mpya shoga, TCRA wanaujua ukweli wakiamua kufatilia mawasiliano ya hizo siku nchi nzima tutakuwa wahaini,
Wanajeshi wasio na vyeo hao nao wameichoka serikali ni vile hawana maamuzi, kuna maza mmoja jioni ya 30 akitoka kununua mboga alikutana na mjeda aliyejificha akamshtua wewe hujui kutembea mwisho saa kumi na mbili yule mama akajitetea pale akaulizwa tuonyeshe kidole akaonyesha bahati nzuri hakwenda kupiga kura, akaambiwa kimbia nyumbani,

Kuna mmaza mwingine jirani kabisa na kwangu yeye aliambiwa tuone kidole bahati nzuri hakwenda kupiga kura,, kwahiyo ingekuwa wameenda hao wangebutuliwa risasi
 
Hapo nimekupata Kapisi kumbe basi kile kilikuwa ni kikundi cha kuhamasisha maandamano tu
 
Back
Top Bottom