ndoto haijawi na haiwezi kuisha hata siku moja hata zile ndoto nyevu huisha ukipiga goli ndio unashtuka kwamba upo peke yako
Nimekuwa nikisikia kuwa ndoto huwa haimaliziki na endapo utakapomaliza ndoto basi itakuja ndoto nyingine ambayo itakatika labda kwa kuamshwa au sababu nyingine ambayo itakufanya uamke.
Hapa nina uhakika nitapata jibu muafaka.
Haya tiririkeni kwa faida yangu na wengineo
Ninavojua ndoto hatakama wewe uione ni ndefu kiasi gani huwa ina range ya sekunde kadhaa(10-15) tu ikifikisha dakika moja unakufa.
Ninavojua ndoto hatakama wewe uione ni ndefu kiasi gani huwa ina range ya sekunde kadhaa(10-15) tu ikifikisha dakika moja unakufa.
mh mi kuna ndoto nilianza kuota jana badae yakaja maneno "WATCH OUT PART 2"
Nipo hapa nasubiri usiku wa leo kama itaendelea...
Umejuaje ndoto inarange 10-15? Mbona mi huwa nikiota nikigutuka usingizini nahisi ni kama si chini ya dk 3
Ninavojua ndoto hatakama wewe uione ni ndefu kiasi gani huwa ina range ya sekunde kadhaa(10-15) tu ikifikisha dakika moja unakufa.
Ndoto ni kama maisha, Ujue maisha hayamaliziki, siku yakimalizika basi jua ndo umekufa hivyo, kwa hyo hata ndoto itakapoisha yawezekana ukaacha msiba.[/QUOTE
Na Vipi Wqle Wanaolala Na Kuamka Bila Kupata Hata Chembe Ya Ndoto They Survived point yako dhaifu...
#rakims
Nimekuwa nikisikia kuwa ndoto huwa haimaliziki na endapo utakapomaliza ndoto basi itakuja ndoto nyingine ambayo itakatika labda kwa kuamshwa au sababu nyingine ambayo itakufanya uamke.
Hapa nina uhakika nitapata jibu muafaka.
Haya tiririkeni kwa faida yangu na wengineo
Kama huamini chukua stopwatch utagundua ninayo yasema ukipima muda uliotumia kota ndoto yako.Umejuaje ndoto inarange 10-15? Mbona mi huwa nikiota nikigutuka usingizini nahisi ni kama si chini ya dk 3
Mkuu siwatishi ila hakuna kazi ngumu ambayo inahusisha ubongo na kwa muda mfupi ku analyses taarifa(story) kamili kama ndoto hata mapigo ya moyo huwa yanabadilika.mzee mbona unatutisha namna hiyo!!!!!
Kama sikosei ilikuwa mchana maana ndoto za mchana ni sheeeda.mh mi kuna ndoto nilianza kuota jana badae yakaja maneno "WATCH OUT PART 2"
Nipo hapa nasubiri usiku wa leo kama itaendelea...
Ninavyofahamu mimi mtu akiota ndoto hawezi kuimaliza lazima ikatike na kama akiimaliza basi ndiomwisho wa maisha yake. Anafia usingiziniNimekuwa nikisikia kuwa ndoto huwa haimaliziki na endapo utakapomaliza ndoto basi itakuja ndoto nyingine ambayo itakatika labda kwa kuamshwa au sababu nyingine ambayo itakufanya uamke.
Hapa nina uhakika nitapata jibu muafaka.
Haya tiririkeni kwa faida yangu na wengineo