SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,044
Habari za mchana wana jamvi. Ni mara ya tatu sasa katika nyakati na mazingira tofauti nimekuwa nikisikia habari juu ya nguvu za fedha za zamani, yaani zile sarafu zilizokuwa zinatumika kipindi cha mkoloni nchini Tanzania kuwa zina uhusiano wa karibu na majini na utajiri na hivi sasa ni dili kubwa sana hapa mjini.
Nimejaribu kuwauliza na kuwadadisi kwa undani watu walioniambia jambo hilo lakini hawakuonyesha ushirikiano, na kwa jinsi inavyoonyesha ni kana kwamba kuna ukweli fulani hivi hawa jamaa wanaoficha.
Ndio maana nikaona ni bora nililete hili jambo humu kwani nina imani JF kwani hakuna mada au swali liliwahi kuulizwa humu ndani likashindwa kutolewa ufafanuzi.
Below ni picha ya sarafu ya Mjerumani niliyoiiba katika gallery ya mchizi..