Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,349
- 3,313
.
Shida yao wanakunywa maji mengi sana kwaajili ya joto ndo maana wanakojoa kojoa hovyo, au sijaelewa mnamaanisha nini hapa?
Unajua pale nguzo ya umeme kwa chini ghafla linapigwa shuti sasa ndio unabaki kujiuliza mbona kanzu imelegea?
Na wa mikoani mimba hamuwezi kutia mpaka mkamuliwe mbegu kama ng'ombe zikarutubishwe china ndiyo muitwe baba fulani. Pumbavu zenu kazi kunenepesha misambwanda tu.
Umepanic braza!!Na wa mikoani mimba hamuwezi kutia mpaka mkamuliwe mbegu kama ng'ombe zikarutubishwe china ndiyo muitwe baba fulani. Pumbavu zenu kazi kunenepesha misambwanda tu.
Umepanic braza!!
Hebu wataje?Kwani uwongo blaza au mpaka tutaje majina?
We wa wap??? utakuwa wa daaaaa mbona umekaa mlangonWanakuja