Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
sijui ataanzaje yaani ? wafie mbele hukoEX???? UKIPITIWA HATA KUNITANIA TUKUMBUSHIE NAKUBLOCK PERMANENTLY NA NDO MWISHO WAKUPOKEA HATA SALAMU YANGU. HATA UKINIKUTA MBINGUNI USINIZOEE DHARAU SIPENDI ACHIA WENZIO WATATUE.
huruma gani?hebu kuwa na moyo wa huruma bana....
Wala hapana dalili ya ukali ila nilichokusudia itakuwa km hajafanya basi anatarajia.so anatafuta mass support sina ukali wowote mkuumbona unakuwa mkali?
Unapunguza maswali au kwnani uulize maswali na lugha ya kwenye ndegeHaving sex with your ex it's not cheating, is called a memorial service.
tehe tehe tehememorial service
Ndio na ni muhimu mno huduma yako ya kwanza kuikumbuka kama ambavyo nakumbuka gari la kujifunzia ilikuwa safulWewe unaweza huduma ya kumbukumbu?
Ya kumkubalia ex wako, kisha mpe tunda ajinafasi.huruma gani?
ili iweje?Ya kumkubalia ex wako, kisha mpe tunda ajinafasi.
haitokaa itokee kwanguNi kama somo la historia
why not? Hasa kama moyo wako bado anazipenda. Unaweza kuzivaa kujikumbusha enzi za primary.Ni kama kurudia uniform za primary mkuu inawezekana?
WORDItakua cheating kama upo na mtu mwingine kwa mda huo...
Mwanaume akirejea this time huwa ni mtu mwema, wakati mwingine watu uachana kwa hasira ila wakikaa na kutafakari ugundua kuwa walikurupuka kuachana, hivyo wapatapo chance upeana bila ihana.ili iweje?
haitokaa itokee kwangu
kama mtu anaweza kurudi tumboni kwa mama yake basi ndivo ilivo kwangu kurudiana na ex !Mwanaume akirejea this time huwa ni mtu mwema, wakati mwingine watu uachana kwa hasira ila wakikaa na kutafakari ugundua kuwa walikurupuka kuachana, hivyo wapatapo chance upeana bila ihana.