Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,247
Imebidi nicheke tu.....!!;!Kuna kijiwe Fulani hivi napitaga kimeandikwa ONDOKA USEMWE
Huu ni uonevu mkuu..
Those are women disguised as men.
we mwenyewe umoSio kweli.
Kuna kijiwe Fulani hivi napitaga kimeandikwa ONDOKA USEMWE
Kuna kijiwe Fulani hivi napitaga kimeandikwa ONDOKA USEMWE
Ndiyo kuwazidi wanawake?Kweli kabisa.
Ndiyo tuwazidi jamani!? Haijakaa sawa ni kuvunjiana heshima tuwe mwenyewe umo
Naishi katika neno lako.Huu ni uonevu mkuu..
Wapo wazee ambao ukikatiza tu wataelezeana maisha yako tangu utoto na kukijua mpaka unachokiwaza, yaani wanakujua kuliko unavyojijua.Lakini kiukweli wapo wanaume wanasengenya/wana majungu siyo kidogo. Wengine hadi tunaona aibu kukaa groups za hivo