Kuna ukweli wowote au ni uonevu tu?

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,013
2,000
Lakini kiukweli wapo wanaume wanasengenya/wana majungu siyo kidogo. Wengine hadi tunaona aibu kukaa groups za hivo
Wapo wazee ambao ukikatiza tu wataelezeana maisha yako tangu utoto na kukijua mpaka unachokiwaza, yaani wanakujua kuliko unavyojijua.
 
Top Bottom