O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,230 Reaction score 4,636 Jul 19, 2025 #1 Login • Instagram Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world. www.instagram.com Ni pikipiki mbalimbali je bei zake zina sadifu uhalisia nani anihakikishie hawa jama wapo hapa dar
Login • Instagram Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world. www.instagram.com Ni pikipiki mbalimbali je bei zake zina sadifu uhalisia nani anihakikishie hawa jama wapo hapa dar
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,198 Reaction score 2,801 Jul 20, 2025 #2 Yani humu ndio wote muko jukwaa la siasa mnamtafuta mama au?
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,198 Reaction score 2,801 Jul 20, 2025 #3 Mkuu jamaa hawa hawako DSM kwa maelezo yao wako Z,bar chake chake Kwa maana hii utasikia tuma tuna fanya delivery ujue imeisha hiyoo.
Mkuu jamaa hawa hawako DSM kwa maelezo yao wako Z,bar chake chake Kwa maana hii utasikia tuma tuna fanya delivery ujue imeisha hiyoo.
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,230 Reaction score 4,636 Jul 20, 2025 Thread starter #4 Driver proffesional said: Mkuu jamaa hawa hawako DSM kwa maelezo yao wako Z,bar chake chake Kwa maana hii utasikia tuma tuna fanya delivery ujue imeisha hiyoo. Click to expand... Aiseh mkuu acha kabisa kama itakuwa kweli yaani mtz KUKOSA usafiri ni juu yake sababu 400k Kuna bike nzuri za umeme
Driver proffesional said: Mkuu jamaa hawa hawako DSM kwa maelezo yao wako Z,bar chake chake Kwa maana hii utasikia tuma tuna fanya delivery ujue imeisha hiyoo. Click to expand... Aiseh mkuu acha kabisa kama itakuwa kweli yaani mtz KUKOSA usafiri ni juu yake sababu 400k Kuna bike nzuri za umeme
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,198 Reaction score 2,801 Jul 21, 2025 #5 OgaBoy said: Aiseh mkuu acha kabisa kama itakuwa kweli yaani mtz KUKOSA usafiri ni juu yake sababu 400k Kuna bike nzuri za umeme Click to expand... Hapana chief usijaribu tena usijaribu
OgaBoy said: Aiseh mkuu acha kabisa kama itakuwa kweli yaani mtz KUKOSA usafiri ni juu yake sababu 400k Kuna bike nzuri za umeme Click to expand... Hapana chief usijaribu tena usijaribu
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,527 Reaction score 21,151 Jul 21, 2025 #6 Driver proffesional said: Hapana chief usijaribu tena usijaribu Click to expand... Kuna mtu aliwahi kulileta humu hili Lamomy au Bushmamy Sina kumbukumbu vizuri
Driver proffesional said: Hapana chief usijaribu tena usijaribu Click to expand... Kuna mtu aliwahi kulileta humu hili Lamomy au Bushmamy Sina kumbukumbu vizuri
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 5,879 Reaction score 10,394 Jul 21, 2025 #7 Matapeli
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,295 Jul 21, 2025 #8 Tatizo ni moja tu kwa wafanya biashara wa kibongo. Wanaweza kuleta bikes kutoka China, lakini hakuna duka utapata spares zake. Hata bumper likivunjika lazima uchonge mbao, na unaweza kurudi kwenye duka wakasema zilikuja Mara moja tu kama Shati la mtumba Unaharibu battery halafu hakuna la badili yake. Hapo ndio huwa nachoka biashara hizo za nyumbani Ukitaka kununua hakikisha ni Soko la kudumu kama Bajaj na Sanlg, tena ukahakikishe mwenyewe kama ni soko la kudumu La sivyo achana nayo kabisa la sivyo utashona mpaka plastic kwa spoku ya moto
Tatizo ni moja tu kwa wafanya biashara wa kibongo. Wanaweza kuleta bikes kutoka China, lakini hakuna duka utapata spares zake. Hata bumper likivunjika lazima uchonge mbao, na unaweza kurudi kwenye duka wakasema zilikuja Mara moja tu kama Shati la mtumba Unaharibu battery halafu hakuna la badili yake. Hapo ndio huwa nachoka biashara hizo za nyumbani Ukitaka kununua hakikisha ni Soko la kudumu kama Bajaj na Sanlg, tena ukahakikishe mwenyewe kama ni soko la kudumu La sivyo achana nayo kabisa la sivyo utashona mpaka plastic kwa spoku ya moto