S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,015 Reaction score 6,246 Jan 28, 2013 #21 watu8 said: Hehehe! sasa kama unamchoka mtu kwenye uboifrendi au ugelifrendi hivi ndoa itawezekana kweli?? au kwenye ndoa ndio hakuna kuishi pamoja?? Click to expand... Great thinker. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
watu8 said: Hehehe! sasa kama unamchoka mtu kwenye uboifrendi au ugelifrendi hivi ndoa itawezekana kweli?? au kwenye ndoa ndio hakuna kuishi pamoja?? Click to expand... Great thinker. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Jan 28, 2013 #22 sasa miaka kibao mtu anakubandua akuoe kwa kipi kipya jamani?kuna kuchokana kwenye mapenzi,anatafuta kitu fresh unaachwa hapo kama tambara bovu heeee,chezea wanaume wa sasa nini!
sasa miaka kibao mtu anakubandua akuoe kwa kipi kipya jamani?kuna kuchokana kwenye mapenzi,anatafuta kitu fresh unaachwa hapo kama tambara bovu heeee,chezea wanaume wa sasa nini!