Tutarajie dibaji mpyaKwamba kikomo cha kuwa kimefika tamati?
Kidudu kidogo tu, kijiwe kiko Kama hiki💥Kumbuka Goliath alipigwa na nini
Hatari.Kidudu kidogo tu, kijiwe kiko Kama hiki💥
Bas hakika huu ndo mwisho wa empire hile kutoka 5 tena hadi kutoonekana tena.Kumbuka Goliath alipigwa na nini
Macho ya plasticMbona lile Kobe la kipanya nililiona limeanza kupepesa macho likiwa ndani ya jumba lake
Kumbuka Goliath alipigwa na nini
Unataka kusemaSisi Waafrika kuna mahala tulilaaniwa labda
Yule Hayati Raisi wa Gabon Ally Bongo alipigwa na Kiharusi na Wananchi wakafichwa akaendelea kutawala kwa muda mrefu wakati hata kuongea alikuwa hawezi
Ally Bongo aliumbuliwa baada siri kutokaUnataka kusema