Kuna uhusiano wowote wa utafutaji na uchafu?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,515
Kuna ulazima mtu yoyote Hadi uchafuke unuke uwe rafu ndio tuone utafutaji umepamba moto?

Kuna watu wakiwa katika harakati za kutafuta Pesa wlwanataka Kila mtu ajue. Hawajijali na hiyo ndio inakuwa kama kauli mbinu ya utafutaji.

Je Kuna ulazima wowote mtu usijijali katika utanashati na muonekano na usafi kisa unatafuta sana au uonekane uko siriasi katika kusaka shekeli?

Nini maoni yako

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…