Nyimbo za dini na hisia ni za South Africa kama wakina Rebecca Marope n.k lkn bongo nyingi ni after cash..kuluka luka makanisani..nadhan sio mbaya japo zinafaa kwa wakati wake kama sherehe lkn sio ibadan John Lissu na wengine wamfano wake ndio nyiimbo ambazo zinaweza kutumika ibadani kuliko kuluka Luka hivyo..huwezi kukuta hivyo hats uko Israel.
Rose Muhando ni mwimbaji bora wanyimbo za injili wakati wa sherehe na mikutano lkn sio ibadan