Kuna uhusiano wowote kati ya nyimbo za injili na siasa?

mind ur bussness

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,059
2,000
Nmeuliza swali hilo kwasababu tukirudi nyuma kidogo katika kampeni za kisiasa tuliona wanamuziki wa injili kama Rose Mhando nk walikuwa wakiwaimbia wapiga kampeni kipindi hicho, mfano Rose alimuimbia sana Mwigulu Nchemba ikiwa kama sehemu ya kumpigia chapuo ili ajipatie kura nyingi, hapo nI nini hasa kilichomsukuma kufanya vile?

Naombeni tusaidiane katika kupeana mawazo hapa, nimefikilia saana issue hiyo sjaelewa
 

mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
3,966
2,000
Hakuna uhusiano wa Nyimbo za Injili na Saisa, bali kuna uhusiano kati ya Wanamuziki waimbaji wa nyimbo hizo na Wanasiasa!!
 

Small Axe

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
649
500
Nyimbo za dini na hisia ni za South Africa kama wakina Rebecca Marope n.k lkn bongo nyingi ni after cash..kuluka luka makanisani..nadhan sio mbaya japo zinafaa kwa wakati wake kama sherehe lkn sio ibadan John Lissu na wengine wamfano wake ndio nyiimbo ambazo zinaweza kutumika ibadani kuliko kuluka Luka hivyo..huwezi kukuta hivyo hats uko Israel.

Rose Muhando ni mwimbaji bora wanyimbo za injili wakati wa sherehe na mikutano lkn sio ibadan
 

K M S

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
525
500
Nafikiri hizo ni kada mbili tofauti na hazipaswi kuchanganywa dini ni dini na siasa ni siasa
 

Small Axe

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
649
500
Kuna ukweli kuwa baadhi ya 'mitindo' ya uimbaji wa injili, inachangia kuondoa utulive wa ibada
Ni kweli mama, kutengeneza mahusiano ya imani kwa muumba kunahitaji utulivu sn ndani ya mioyo..sasa ukizingatia MTU ametoka kwenye msongamano na pulukushani za maisha, anajiona kwenye uovu mwingi hasa a kwa jisia ya kiume ambayo maumbile yao ya kutamani..kwa kuna sasa kunyofoa jicho kama masihi alivyo sema ni ngumu, anatafuta amani na utulivu kanisani, sasa na huko tens ndio utakutana na kwaya au solo artist wa gospel analuka na kunengua jasho lina mtoka sasa anapoteza attention ya Ibadan ya ndani ya roho..ukienda ulaya hukuti vitu kama hivi ndani ya makanisani.

Kuna baadhi ya ndg zetu waislam napenda saana misimamo yako ya kuabudu kuanzia mavazi
Hata we we mama na mama ReginaLowasa mnaifurahisha saana na ktk uvaaji wenu wa heshima.
MNA wawakilisha vzr mama zetu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom