Kuna uhusiano gani kati ya sura/muonekano wa mtu na matendo yake?

Huu mtazamo una ukweli...mfano tu mrahisi ...handsome men wengi ni wastarabu na wapole na wapenda amani,hivyo hivyo kwa wanawake wanawake wanzuri na sio uzuri wakutafutwa kwenye makopo...wengi wao waaroho nzuri na wastarabu na wapole..

Pia jaribu kuangalia viongozi my handsome..mfano Idd-Amin na Obote..n.k
Wa kwetu ukiona sura tu unahisi ukatili.
 
Natumai wengi mtakubaliana nami kuwa Duniani tupo Watu wa aina tofauti..hii imepelekea wengi wetu kuhusisha baadhi ya matendo na aina fulani ya Watu. Kwa mfano kuna aina fulani ya Watu ukimkuta anafanya shughuli fulani lazima moyo wako utashtuka kwanza na utatamani kujiridhisha ni kwa nini Dada/ Kaka au Mama/ Baba huyo yupo kwenye shughuli ile.

Iwe ni Mwanamke au Mwanaume zipo sura au muonekano ambao utaona Mtu mwingine anatumia nguvu kubwa kukuaminisha kuwa Mtu huyo ni tofauti kabisa na anavyoonekana. Mathalani utamsikia Mtu akikuaminisha jinsi fulani alivyo na roho nzuri au upendo, na kinyume chake Wapo ambao inalazimika Mtu kumuelezea namna alivyo na ukosefu wa dabu na heshima ili tu usihadaike na muonekano wake.

Kuna Mtu ukiambiwa ni Mwizi au Jambazi anayevunja nyumba za Watu usiku basi utabaki na mshangao, na Wapo ambao ukiambiwa hivyo wala hutoshtukakwa jinsi Mtu huyo anavyoonekana.
..... Nikinyume wazuri huwa wabaya kitabia na wabaya huwa wazuri kitabia hakuna jambazi au tapeli au shetani au jinianaye weza kuja mbele yako akiwa na sura mbaya never lazima atakuja na sura nzuri.hatabiblia inasema wamevaa ngozi za kondoo Ila ndani mbwa mwitu.kwahiyo daima adui hupitia sura nzuri. Nimalachache waovu kuwa na sura mbaya. Kwamaana nhingine wenyesura mbaya ndiyo binadam wenye azina ya utuwema kujishusha kujipendekeza I'll utambue uwaonavyo sivyo.naukiwapa nafasi wakutumikie hukutumikia vema kwani wana amini we we pekee ndiye unaye jua thamani yao hawapo tayali kukupoteza
 
Hii inawezekana kabisa mkuu. Binafsi watu wengi wakinitazama hunitafsiri kama mtu mkorofi na mwenye kiburi wakati sipo hivyo kabisa. Nakumbuka hata huyu shemeji yenu kumpata ilikuwa pindee kishenzi kila nilipomtia swagg alidai ananiogopa sababu nina sura ya ukali na naonekana ni mtu nisiyejali wala huruma sina.
Ulimpata kwa mbinde!
Sema ulihonga, tena hela chafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom