my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Lakin mimi siko africa 🤦aina yako ya nyege tu
afrika hatuna stress ni nyege tu ndio zinatusumbua na kukosa hela
kwa hiyo punda ukimkuta kariakoo anakuwa ng'ombe ?Lakin mimi siko africa 🤦
Sasa kwangu mbona iko tofauti na ulivoeleza au mimi sijaelewa?Kisaikolojia..
Unapokuw stressed ,stress hulazimisha Mwili unatoa hormone za cortisol na epinephrine , Ambapo kwa zikizidi husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo.
Stress inapokuw ni chronic mwili huhitaji cortisol hormone kwa wingi ili kujiponya juu ya stress hivyo huanza kutumia sex hormones kwa ajili ya production ya cortisol.
Ambapo hupunguza hamu yako ya kufanya tendo.
Ndiokwa hiyo punda ukimkuta kariakoo anakuwa ng'ombe ?
Jibu nililitoa vice versa baada ya kusoma heading tuu ..Sasa kwangu mbona iko tofauti na ulivoeleza au mimi sijaelewa?
Kwahiyo mfumo wangu uko tofauti ama?More stress -> No sex
More sex -> No Stress
Kuna wapumbavu watakuja kupinga kuwa ushirikana hakuna,hawajawakuta tuuHv mwanakwetu unazijua stress wewe? Tofautisha kati ya msongo na kuvurugwa!
Stress ikikuchapa vzr you can't even feel the presence of your sex organs...
Nilibambikwa kesi ya mauaji ya bodaboda, ikawa anasubiriwa jamaa mmoja ahojiwe ndio anitaje nikawe mtuhumiwa namba moja, sitaisahau ile wiki aisee ushirikina una umuhimu wake...
Mkuu bwana umenchekesha SanaHv mwanakwetu unazijua stress wewe? Tofautisha kati ya msongo na kuvurugwa!
Stress ikikuchapa vzr you can't even feel the presence of your sex organs...
Nilibambikwa kesi ya mauaji ya bodaboda, ikawa anasubiriwa jamaa mmoja ahojiwe ndio anitaje nikawe mtuhumiwa namba moja, sitaisahau ile wiki aisee ushirikina una umuhimu wake...
Sijui kuna uhusiano ganiMimi nikiwa sina stress huwa sina mood kabisa ya Ku sex na ata kma nikisex nakua sienjoy kabisa nafanya tu kwa vile labda mwenzangu anataka kufanya.
Lakin nkiwa na stess nakua active sana na hamu ya sex inakua iko juu sana, na nikifanya muda huo naenjoy kupita kiasi. Alaf nkimaliza nakua active zaidi hata kile kitu kilichonisababisha niwe stressed nakua na uwezo wa kukitafutia solution kila kitu kikawa sawa.
Hivi kwanini inakua hivi? Je kuna uhusiano kati ya stress na sex?