Kuna uhusiano gani kati ya PESA na POMBE

Pesa ni nyenzo tu ya kukuwezesha kunywa pombe, ukiona mtu anakunywa sana pombe mpaka anasahau majukumu yake mengine ujue huyo mtu hana pesa za kutosha kufanya yote hivyo ameamua kuipa kipaumbele Pombe. Sisi wenye mkwanja wa kutosha tunakunywa pombe na majukumu mengine kama ya kifamilia yanakwenda vizuri tu
 
Welldone!!! Nimepata point apo
 
Zingatia "wewe uitawale pombe na sio pombe ikutawale" Kuna wenye pesa zao ila humkuti hata siku moja amelewa. Ila usipoangalia unasetiwa katika ulimwengu wa roho na kuwa "cha pombe";
 
Pesa ni nyenzo tu ya kukuwezesha kunywa pombe, ukiona mtu anakunywa sana pombe mpaka anasahau majukumu yake mengine ujue huyo mtu hana pesa za kutosha kufanya yote hivyo ameamua kuipa kipaumbele Pombe. Sisi wenye mkwanja wa kutosha tunakunywa pombe na majukumu mengine kama ya kifamilia yanakwenda vizuri tu
Una akili tena sana
 
Beer tamu. Tuache kabisa Kama umhuna hela lazima uzisake yaani pombe inakuoa akili utafute hela ili unywe bia la sivyo unalala macho hakuna usingizi.

Zote zinaanza na P inaanza Pesa inafuata Pombe, hebu tuache aisee usipokuwa na hela hunywi pombe.
 
waliosema uzizi ni sehemu ya umaskini.ulikuo uoni.

unaweza kunywa k-vant za laki moja hata kama mpo sita.
sasa kuwa na michepuko 6 kama hiyo laki inatosha au familia sita
 
Back
Top Bottom